minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Ni upumbavu mkubwa kwenda kaziba barabara kushusha wananchi kwenye mabasi kuwakata kumsafirisha mbowe tokea mwanza kwenda Dsm kukamata laptop yake ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodiUna ufinyu wa akili huwezi kuelewa nilichoandika. Soma mstari mmoja mmoja labda utaelewa nilichoandika. Ndiyo matatizo ya kusoma shule za kata. Eti misaada imepunguzwa na nchi wafadhili kwa kuikandamiza Chadema.🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli Askofu Bagonza hakukosea aliposema tulipokuwa na Chuo Kikuu kimoja nchini hatukuwa na Wapumbavu wengi kama ilivyo sasa. Kuongezeka kwa vyuo vikuu nchini kumekuwa na negative impact kwani Wapumbavu pia wameongezeka kwa kasi ya kutisha.