Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Nani anafanya kazi nyuma ya Mama na kum'badilisha ghafla misimamo yote aliyoanza nayo na kuiamini?
 
samia afanye udikteta tu lakini mashirika ya Kimataifa na Nchi za wafadhili zikiamua kutotoa mikopo na misaada kutokana na nchi kukosa demokrasi hapo ndiyo Watanzania watatia akili kichwani kwani ugumu wa maisha utaongezeka mara tatu ya ilivyo sasa na Serikali itakuwa haina jinsi bali kupitisha fagio la chuma Serikalini litakalosomba Wafanyakazi wengi
Peleka ujinga huko. Kungekuwa hakuna demokrasia ungeweza kupata hata nafasi ya kuandika huo uchafu?
 
Nani kakudanganya vyama vya upinzani ni CHADEMA? mnajiita chama kikuu cha upinzani na hamna hata wabunge, chama cha upinzani kinacholazimisha vurugu ambazo wananchi hawaziungi mkono wafadhili gani hao wataokisikiliza? kama JPM licha ya kuwakalia kooni na kuingilia maslahi yao hao mabeberu bado akihitaji mkopo walimpa sembuse huyu mama alowalegezea?
Kudai katiba mpya nivurugu?
 
mimi nilishawaambia chadema waende kwa akili na busara, maza amekuja na nia njema wao watumia hisia badala ya akili, ndio maana magu aliwanyoosha. mtu mpole ukimzoea vibaya anaweza kukufanya kitu mbaya kuliko hata yule anayeongea.
 
Nisahihi kabisa atakuwa gaidi na wanashirikiana na makamu wake kuhakikisha nchi haitawaliki HILI ndiyo lengo kuu la magaidi wote Duniani.

Wamuongeze na kosa la kuhamasisha maambukizi ya corona kwa kukusanya wananchi wa Mwanza kinyume na maelekezo ya serikali na kufifisha jitihada za kupambana na corona kama zilivyotolewa na shirika la afya Duniani.
 
Sijibu maswali ambayo yako wazi ksbisa. If you don’t know what is going in the country due to lack of democracy then that is your problem not mine.
Wapuuzi kama wewe mnakuja kuandika ujinga ujinga wenu huku kichwani umejaza kamasi. Mtu akiandika kitu usichokijua unaanza maswali ya kipumbavu eti ujibiwe!!! Sifanyi huo upuuzi.
Bado unang'ang'ania "uzwazwa wako"...Ndani ya mjadala dawa ya SWALI ni JIBU....don't hit around the bush and try to play a smart card ...

Kwani humu ndani ya majadiliano watu wanaongea YASIYOJULIKANA TU?!!!

Watu wanaongea mambo MAGENI TU?!!

Mbona tunajadiliana TABIA MBOVU ZA SIASA ZA VISINGIZIO ZA CHADEMA....kwani ni TABIA YAO MPYA?!!!

Mbona tunajadiliana MATUSI NA DHIHAKA ZA WANACHADEMA kwa Serikali ya CCM na viongozi wake....kwani ni TABIA yao NGENI?!!!

ARGUMENTUM Ad hominem tu.....

#KaziIendelee
 
mimi nilishawaambia chadema waende kwa akili na busara, maza amekuja na nia njema wao watumia hisia badala ya akili, ndio maana magu aliwanyoosha. mtu mpole ukimzoea vibaya anaweza kukufanya kitu mbaya kuliko hata yule anayeongea.
Hao jamaa Wana siasa za hovyo sana.....

Kudeal nao ni kuwaonyesha UJINGA wao kwa vitendo.....

Ukiwaacha na siasa zao KOKO nchi haitafanya lolote la maandeleo zaidi ya MAANDAMANO NA MAKONGAMANO asubuhi ,mchana na jioni.....

Mungu amlaze pema peponi hayati JPM......

#KaziIendelee
 
Hata mahakama ya uhalifu wa kimataifa ICC sasa wanaanza kuangazia hilo taasisi za haki za binadamu zote wameona uonevu mateso waliofanyiwa wananchi kule mwanza, hii inaenda kumletea chuki kubwa Mama na itaharibu mazuri machache aliyokuwa kaanza kuyafanya
Mabeberu hawajali kuhusu haki za binadamu wala demokrasia labda ushoga tu ndio watakupiga pini.
 
Katika mambo ya kipumbavu ni haya yanayofanywa na vyombo vya dola ni ujinga mtupu.
 
Mama alikuwa amekubalika sasa lakini kwa uonevu unyanyasaji uovu mateso waliyofanyiwa wapinzani huko mwanza ni dhahiri mama anaenda kupata chuki kubwa tokea kwa wananchi wapenda demokrasia kote Nchini na Duniani kote
Alikuwa amekubalika ndio maana mkawa mnamtukana na kusema mtamnyoa sio??
 
Washauri wa mama acheni kumpotosha apate kuja kuwa Rais mwanamke wa kwanza Tanzania ambaye amekosa utu na haki za binadamu
Sisi tulishasema hapo kabla, kwamba muwe na adabu na staha lakini kama kawaida yenu mliloweka mbele ni matusi tu.

Namuona mmoja wenu hapa kwenye uzi huu huu yeye ni kutukana wenzie tu.

Okey umefika sasa muda wa kumlazimisha mama maana mlisema mtamlazimisha
 
Kwa taarifa yako hata mama wa kambo hatakuwa salama sana, ni kweli katiba hii dhaifu itampa mama wa kambo nguvu ya vyombo vya dola kwa muda, lakini ukweli hautakuwa upande wake, hivyo itamcost hata yeye.
Kabisa mkuu kawa Mama wa kambo. Washauri wanamtoa kwenye reli.Nataraji Mama ashangaze watu kwa maamuzi ya haraka kulinda na kujenga heshima yake.Piga chini IGP,RC Mza.
 
samia afanye udikteta tu lakini mashirika ya Kimataifa na Nchi za wafadhili zikiamua kutotoa mikopo na misaada kutokana na nchi kukosa demokrasi hapo ndiyo Watanzania watatia akili kichwani kwani ugumu wa maisha utaongezeka mara tatu ya ilivyo sasa na Serikali itakuwa haina jinsi bali kupitisha fagio la chuma Serikalini litakalosomba Wafanyakazi wengi sana.
kama hatukunyimwa misaada wala hiyo mikopo na fagio la chuma halikupita kipindi cha Magu aliewaendesha wapinzani mpaka wakakimbia nchi basi kwa huyu mama dont hold ur breath my brother
 
Mama Samia anaanza kujibebea laana, aangalie Kayafa pamoja na kuwa rais kama alikuwa ana amani ya moyo
 
Back
Top Bottom