digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Lini watapata? DJ aliyegeukia ugaidi anachezewewa makagari ninyi muko mitandaoni kuimba ngonjeraWatapata wanachokitafuta hawa MA-CCM
Naona mmeanza tena kuishiwa na akili ila tambueni kuwa mbowe hatakaa jela mda mrefu
😀 😀 Tulia dawa iingie vizuri. Mama kaanza vizuri Sana, tumpe muda.Hii serikali hata mishahara itashindwa kulipa
Kuna mahali wamesema kamuua magufuli au wewe uliye ndaninya kempu yenu ya mbowe ndio unajua hivyo? Basi anyongwe labisa kama ndio hivyo
Wasikilize watendaji wa mwenyekiti hapoPamoja na mengine yote...... Uongozi ni dhamana. Uongozi ni uwajibikaji. Unapokua kiongozi huwezi kujitoa kwenye mambo yahusuyo unaowaongoza sababu wao ni watendaji chini yako na wanatekeleza yale mliyokubaluana kwa ruhusa yako
Wewe mke wa mbowe lazima ungesema hayaKwahiyo magufuli aliuwawa?
Ndio ninachokataa kuwa magufuli aliuwawa nijuacho Mimi it's natural death
Ya kkoo umeyatoa wapi ,mauji ya mbowe ni mengi tangu mabomu ya olasiti clip zipo ,kumwagiwa tindikali kwa Peter Tesha.kupigwa kwa kagenzi,kupotea kwa saanane na n.kSalam Wanandugu
Kwanza nianze kwa kuwataka mods wasifute uzi huu kwa sababu Kuna nyuzi nyingi za akina jingalao zinazomsingizia mwenyekiti...
Tutaongea lugha moja tyWewe mke wa mbowe lazima ungesema haya
USSR
haki uliiona kwa Sabaya tu kwa Mbowe sio haki kukamatwa na kufunguliwa mashitaka anayo tuhumiwa nayo?Kiongozi asiyekemea watendaji wake wanapokosea ni dhahiri anaridhishwa wanachokitenda na amekibariki
haki uliiona kwa Sabaya tu kwa Mbowe sio haki kukamatwa na kufunguliwa mashitaka anayo tuhumiwa nayo?Alisema "Msibambikizie watu kesi" lkn sasa naona anakula matapishi yake.
Ya kkoo umeyatoa wapi ,mauji ya mbowe ni mengi tangu mabomu ya olasiti clip zipo ,kumwagiwa tindikali kwa Peter Tesha.kupigwa kwa kagenzi,kupotea kwa saanane na n.k
Mbowe analipa aliyofanya hadi kwenye familia yake anatuhumiwa kuuwa ndugu zake
USSR
haki uliiona kwa Sabaya tu kwa Mbowe sio haki kukamatwa na kufunguliwa mashitaka anayo tuhumiwa nayo?
Sheria ni MSUMENO wacha ukate, MBOWE na wenzake sio MALAIKA....walijificha tu chini ya chama lkn mambo yao walio kuwa wanafanya huwezi kuamini, wanapanga kuuuwa watu? aiseee.
na wengine watakamatwa msako bado unaendeleea
Hata mm nilidhani alikuwa anadai katiba kumbe alijua fika kuwa iko siku atakamatwa kwa tuhuma za ugaidi sasa akaamua aanzishe kongamano la katiba ili ikitokea kakamatwa basi iwe rahisi kuuhadaa umma kuwa sababu ni kudai katiba kumbe siyo hivyo.Makosa yapi mtu kutekeleza haki yake ya katiba ndo iwe nongwa mfungeni mbona wakina Mandela wamekaa miaka 27 jela yeye sio wakwanza
Wahi hospitali. Mara nyingi, kwa magonjwa ya akili, mgonjwa huwa ni ngumu kutambua kuwa anaumwa.Nampongeza rais Suluhu kwa kutokurupuka kumnasa Mbowe mapema. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, sitoend mbali na kuwaboa kwa kuandika gazeti hapa. Kuna maongezi ya kina Mbowe ambayo ni nyeti yalinaswa na serikali na baada ya hapa wakaanza kufuatiliwa taratibu mpaka serikali ikajiridhisha nayo ndipo wakamkamata huyu gaidi. Hasira za kukosa urais zimemponza Mbowe na Lissu na ndiyo maana Lissu hataki kurudi nchini anaogopa kunyongwa.
nani akukamate wewe!!! tunajua unataka ukale bure polisi.Ata mimi nilijua kuwa Magu mgonjwa,aya nikamateni basi. Tusiwe wajinga,Magu kafa kwa ujinga wake msitafute pa kufutia aibu.
Toa ushahidi beyond reasonable doubt sio kuongea tu kama headless chicken
hata kuwa shabiki wa chadema, lazima ukatwe kichwa kwanza.Police wa Tanzania aisee....vishekesho tupu..
Hii kazi kwa mtu makini kabisa huwezi kuifanya..