Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Kuna mahali wamesema kamuua magufuli au wewe uliye ndaninya kempu yenu ya mbowe ndio unajua hivyo? Basi anyongwe labisa kama ndio hivyo
Pamoja na mengine yote...... Uongozi ni dhamana. Uongozi ni uwajibikaji. Unapokua kiongozi huwezi kujitoa kwenye mambo yahusuyo unaowaongoza sababu wao ni watendaji chini yako na wanatekeleza yale mliyokubaluana kwa ruhusa yako
Wasikilize watendaji wa mwenyekiti hapo
 
Salam Wanandugu
Kwanza nianze kwa kuwataka mods wasifute uzi huu kwa sababu Kuna nyuzi nyingi za akina jingalao zinazomsingizia mwenyekiti...
Ya kkoo umeyatoa wapi ,mauji ya mbowe ni mengi tangu mabomu ya olasiti clip zipo ,kumwagiwa tindikali kwa Peter Tesha.kupigwa kwa kagenzi,kupotea kwa saanane na n.k

Mbowe analipa aliyofanya hadi kwenye familia yake anatuhumiwa kuuwa ndugu zake

USSR
 
We Tanzanian are not ready to tollarate any plot or activities of terrorist under the cover of political freedom.
Mbowe and his fellow alleged to plot and conduct terrorist act, they are criminals like any other criminals, no one is above the laws, he used Political party as an umbrella, he used agenda of demanding new constitution as an umbrella. that man is dangerous.
 
Kiongozi asiyekemea watendaji wake wanapokosea ni dhahiri anaridhishwa wanachokitenda na amekibariki
haki uliiona kwa Sabaya tu kwa Mbowe sio haki kukamatwa na kufunguliwa mashitaka anayo tuhumiwa nayo?

Sheria ni MSUMENO wacha ukate, MBOWE na wenzake sio MALAIKA....walijificha tu chini ya chama lkn mambo yao walio kuwa wanafanya huwezi kuamini, wanapanga kuuuwa watu? aiseee.

Na wengine watakamatwa msako bado unaendeleea
 
Alisema "Msibambikizie watu kesi" lkn sasa naona anakula matapishi yake.
 
Alisema "Msibambikizie watu kesi" lkn sasa naona anakula matapishi yake.
haki uliiona kwa Sabaya tu kwa Mbowe sio haki kukamatwa na kufunguliwa mashitaka anayo tuhumiwa nayo?

Sheria ni MSUMENO wacha ukate, MBOWE na wenzake sio MALAIKA....walijificha tu chini ya chama lkn mambo yao walio kuwa wanafanya huwezi kuamini, wanapanga kuuuwa watu? aiseee.

na wengine watakamatwa msako bado unaendeleea
 
Ya kkoo umeyatoa wapi ,mauji ya mbowe ni mengi tangu mabomu ya olasiti clip zipo ,kumwagiwa tindikali kwa Peter Tesha.kupigwa kwa kagenzi,kupotea kwa saanane na n.k

Mbowe analipa aliyofanya hadi kwenye familia yake anatuhumiwa kuuwa ndugu zake

USSR

Wacha sasa tujue aina ya huo wembe wanaoutumia na wanakoupata
 
Siku zote nimepuuza kabisa uwezekano wa marehemu kuuawa na mtu yeyote, lakini kama atabambikiwa kuwa ndiye aliyemwua, basi mambo mawili yatakuwa dhahiri:

1) Ni kweli aliuawa
2) Na waliomwua watakuwa ndani ya system yake ya utawala na chama, na labda sasa watakuwa wanayafuta kujisafisha, kama walivyofanya kwa Akwilina
 
haki uliiona kwa Sabaya tu kwa Mbowe sio haki kukamatwa na kufunguliwa mashitaka anayo tuhumiwa nayo?
Sheria ni MSUMENO wacha ukate, MBOWE na wenzake sio MALAIKA....walijificha tu chini ya chama lkn mambo yao walio kuwa wanafanya huwezi kuamini, wanapanga kuuuwa watu? aiseee.
na wengine watakamatwa msako bado unaendeleea

Kubambika ni kubambika tu.. Hata Sabaya km kambikiwa apewe haki yake asiteswe.

Haki haichagui.
 
Makosa yapi mtu kutekeleza haki yake ya katiba ndo iwe nongwa mfungeni mbona wakina Mandela wamekaa miaka 27 jela yeye sio wakwanza
Hata mm nilidhani alikuwa anadai katiba kumbe alijua fika kuwa iko siku atakamatwa kwa tuhuma za ugaidi sasa akaamua aanzishe kongamano la katiba ili ikitokea kakamatwa basi iwe rahisi kuuhadaa umma kuwa sababu ni kudai katiba kumbe siyo hivyo.

Kosa la Mbowe na wenzake ni ugaidi ambalo ni kosa kubwa sana na hatari sana duniani, hakuna nchi inayo taka kusikia vitendo vya kigaidi ndio maana hata marekani imetenga Geteza la Guantenamo kwa watu kama kina mbowe.
 
Nampongeza rais Suluhu kwa kutokurupuka kumnasa Mbowe mapema. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, sitoend mbali na kuwaboa kwa kuandika gazeti hapa. Kuna maongezi ya kina Mbowe ambayo ni nyeti yalinaswa na serikali na baada ya hapa wakaanza kufuatiliwa taratibu mpaka serikali ikajiridhisha nayo ndipo wakamkamata huyu gaidi. Hasira za kukosa urais zimemponza Mbowe na Lissu na ndiyo maana Lissu hataki kurudi nchini anaogopa kunyongwa.
Wahi hospitali. Mara nyingi, kwa magonjwa ya akili, mgonjwa huwa ni ngumu kutambua kuwa anaumwa.
 
Ata mimi nilijua kuwa Magu mgonjwa,aya nikamateni basi. Tusiwe wajinga,Magu kafa kwa ujinga wake msitafute pa kufutia aibu.

Toa ushahidi beyond reasonable doubt sio kuongea tu kama headless chicken
nani akukamate wewe!!! tunajua unataka ukale bure polisi.
 
Back
Top Bottom