Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Kubambika ni kubambika tu.. Hata Sabaya km kambikiwa apewe haki yake asiteswe.

Haki haichagui.
basi tulia haki inapatikana Mahakamani sio kwengine.

Polisi wao wamefanya uchunguzi na wamebaini mambo aliyo kuwa anafanya Mbowe na wezake ya kupanga njama za kuuwa watu mbalimbali.

Awamu ya 6 inasimamia utawala wa sheria sio kukumbatia na kulea wahalifu ndio maaana wote hao watafikishwa mbele ya Mahakama.
 
Time will tell
 
Lini awamu ya 5 mashirika haya yalisitisha misaada yao?!!!

1)USAID

2)DANIDA..
Hayo ni mashirika ya misaada yanayosaidia jamii moja kwa moja, hayasaidii bajeti ya Serikali.
 
Rudi shule. Au nenda kwa ras simba.
 
Nyie
Hili taifa la kipumbavu kweli kweli. Gaidi asiwe Sabaya na awe Mbowe viongozi msipandikize chuki kea raia Kuna maisha baada ya leo.
 
Looh Asante sana jeshi la polisi kwa kutuweka wazi yanayoendelea,

Mbowe alikua anakwepa Sheria kwa kuvunja sheria.
 
Ndo maana ukajiita Sumve maana Akili na jina vinaendana.
 
Hawa viongozi wa serikali wanapotunga uongo wa kutisha kama huu wanalenga nini hasa?
Unajuaje kama polisi ni waongo, kwani ww uko ktk intelijensia yao. Usiropoke tu, kama wametuhumu kwa ugaidi watampeleka OPEN COURT na ushahidi wao na kila kitu kitawekwa wazi. Be informed please...
 
Mama is so naive. She thinks the country is free of terrorists. As you may already know, she recently freed a bunch of suspected domestic terrorists. Let her free this one, too!
 
Tukumbuke tu hata Mandela aliitwa gaidi na utawala katili wa Makaburu enzi zile za ubaguzi wa rangi kule Afrika Kusini lakini Mandela hakurudi nyuma bali aliendelea na msimamo wake wa kupinga ubaguzi wa rangi na mwisho wa siku alishinda vita ile.

Na kama sikosei, Nyerere aliwahi tuanbia kuwa ukaburu si rangi bali ni matendo.

Je, kauli hii inatimia au bado?

Majibu nadhani kila mtu sasa anayo kichwani mwake.
 
Mbowe and his fellow tricked us by using agenda of "Constitutional reforms" as a shield while knowing that would be arrested any time in connection with terrorist act.

They will be charged with the offence of terrorist Not for demanding constitutional reforms.
 
Mbowe and his fellow tricked us by using agenda of "Constitutional reforms" as a shield while knowing that would be arrested any time in connection with terrorist act.

They will be charged with the offence of terrorist Not for demanding constitutional reforms.
 
Mama is so naive. She thinks the country is free of terrorists. As you may already know, she recently freed a bunch of suspected domestic terrorists. Let her free this one, too!
Mbowe and his fellow tricked us by using agenda of "Constitutional reforms" as a shield while knowing that would be arrested any time in connection with terrorist act.
they will be charged with the offence of terrorist Not for demanding constitutional reforms.
 
Are you sure for what you are talking about?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…