basi tulia haki inapatikana Mahakamani sio kwengine.Kubambika ni kubambika tu.. Hata Sabaya km kambikiwa apewe haki yake asiteswe.
Haki haichagui.
Polisi wao wamefanya uchunguzi na wamebaini mambo aliyo kuwa anafanya Mbowe na wezake ya kupanga njama za kuuwa watu mbalimbali.
Awamu ya 6 inasimamia utawala wa sheria sio kukumbatia na kulea wahalifu ndio maaana wote hao watafikishwa mbele ya Mahakama.