Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Sijui TISS ndio wamemshauri afanye haya?Ngoma inogile.
Mbowe atajulikana dunia nzima kama mpigania haki za Watanzania.
Samia atajulikana dunia nzima kama dikteta wa kwanza mwanamke Africa.
Mbowe and his fellow tricked us by using agenda of "Constitutional reforms" as a shield while knowing that would be arrested any time in connection with terrorist act.
they will be charged with the offence of terrorist Not for demanding constitutional reforms.
Paeaneni faraja tuWacha sasa tujue aina ya huo wembe wanaoutumia na wanakoupata
nawezekana ikawa wewe ndiye davidmisime wa polisiMbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.
Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.
Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli na uki connect dot utaelewa Tundu Lisu alijuaje kama Magufuli anaumwa?
Lisu alikuwa anapewa na nani taarifa za kwamba Magufuli anaumwa na hatapona?
Bila shaka laptop za mbowe zilizokamatwa zimesema mengi kuhusu kundi la kigaidi.
Ni haya makundi ya ugaidi ndiyo yalikuwa yanawapa taarifa.View attachment 1863503
Unashangaa, unaambiwa tamaa ilimponza fisi (Mbowe na Lissu).Duh.
Na uzuri wa hii hadithi yako ni kwamba mgonjwa wa akili hawezi kuandika vitu vya maanaWahi hospitali. Mara nyingi, kwa magonjwa ya akili, mgonjwa huwa ni ngumu kutambua kuwa anaumwa.
Mbowe na genge lake la kikosi lazi chao lazima yashughulikiwe. Imefika mwisho, ukiona mpaka mama ameacha polisi wafanye kazi hiyo ujue kapewa taarifa za inteligence za kutosha...Lile ni genge la kisiasa la CCM! Tangu lini Polisi mwenye kuheshimu kazi yake akapokea maagizo ya mwana siasa? Kama si ujinga ni kitu gani?
Yaani Mbowe ana mashtka ya ugaidi? Wanawashwa hawa sio bure
RubbishMbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.
Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.
Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli na uki connect dot utaelewa Tundu Lisu alijuaje kama Magufuli anaumwa?
Lisu alikuwa anapewa na nani taarifa za kwamba Magufuli anaumwa na hatapona?
Bila shaka laptop za mbowe zilizokamatwa zimesema mengi kuhusu kundi la kigaidi.
Ni haya makundi ya ugaidi ndiyo yalikuwa yanawapa taarifa.View attachment 1863503
Wanavunja kipengele gani cha Katiba/ sheria?Hao jamaa Wana siasa za hovyo sana.
Kudeal nao ni kuwaonyesha UJINGA wao kwa vitendo...
AMEN“To deny people their human rights is to challenge their very humanity.” - Nelson Mandela.
AMEN“To deny people their human rights is to challenge their very humanity.” - Nelson Mandela.
Acha kiherehere. Hawa policcm hawajawahi kuwa wakweli kwa lolote.kumbe alianzisha harakati za katiba mpya kwa maksudi tu ili ikitokea anakamatwa na polisi basi iwe rahisi kutuhadaa na kuuhadaa ulimwengu eti kuwa kakamatwa kwa kudai katiba mpya!! aisee!!! Mbowe na kundi lake ni zaidi ya majambazi!!
Tunamuomba Msajili wa Vyama akichunguze kwa makini hiki chama cha Chadema inaonekana kuna mtandao mkubwa wa kigaidi/kihalifu/kijambazi nchi nzima, Jeshi letu la Polisi wafanye uchunguzi kwa umakini mkubwa ili kubaini mtandao wote ili washughulikiwe kikamilifu kabla hawaja sababisha madhara kwa wananchi.
Amani ya Tanzania ni Muhimu zaidi kuliko chama cha kigaidi.
Mungu ibariki Tanzania.
Time will tell, unafurahi watanzania wenzako kubambikiwa makosa ya kumnyima dhamana. Muda utaongea!Mbowe and his fellow tricked us by using agenda of "Constitutional reforms" as a shield while knowing that would be arrested any time in connection with terrorist act.
they will be charged with the offence of terrorist Not for demanding constitutional reforms.
Ulisema anaupiga mwingi au una jipya?.Unamcompare JPM na nan vile?
Kazi ipi?SiempreSSH....
M/Mungu amlinde ,kumpa nguvu,afya na uhai mrefu mh.SSH ,aaaamin!
HAKUNA NAMNA...
NI LAZIMA KAZI IENDELEE.....