Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Mbowe and his fellow tricked us by using agenda of "Constitutional reforms" as a shield while knowing that would be arrested any time in connection with terrorist act.
they will be charged with the offence of terrorist Not for demanding constitutional reforms.

That’s what crooks do; they muddy the waters!
 
Mbowe mjinga sana. Timing ya katiba ni mbovu. Angesubili kwanza walau miaka miwili mbele. Sson baada yakifo cha jiwe ndo wameibuka kama panya. Wacha wachomwe.

Mbowe analeta ugaidi nchini.
 
Mm hua nacheka tu nikioana mambo km haya maana hata German ilivo kua inavamia na kuuua raia kwa ubabe tu siku vita ilivo badilika wengine walijiua maana kipigo kilikua cha hasira ya juu kwa matendo waliyo kua wanawafanyia watu.Mm nashauri tu hebu tunapo dili na viongozi tuwe na umakini sana kuto jaza jazba baadae wakija kushika dola wakafanya unyama kwa kua tu mliwatesa.
 
I
Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.

Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.

Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli na uki connect dot utaelewa Tundu Lisu alijuaje kama Magufuli anaumwa?
Lisu alikuwa anapewa na nani taarifa za kwamba Magufuli anaumwa na hatapona?

Bila shaka laptop za mbowe zilizokamatwa zimesema mengi kuhusu kundi la kigaidi.
Ni haya makundi ya ugaidi ndiyo yalikuwa yanawapa taarifa.View attachment 1863503
nawezekana ikawa wewe ndiye davidmisime wa polisi
 
Nilishawahi kusema hapa jamvini watu wa inteligency wanatakiwa kuwa creme na sio failure katika kipindi hiki ambacho dunia inaonekana kuwa kama kijiji then majitu yanaharisha uharo publically ati jamaa ni gaidi inasikitisha sana, tunaonekana jinsi tulivyo viazi tena viazi mviringo kabisa shame on US
 
Lile ni genge la kisiasa la CCM! Tangu lini Polisi mwenye kuheshimu kazi yake akapokea maagizo ya mwana siasa? Kama si ujinga ni kitu gani?

Yaani Mbowe ana mashtka ya ugaidi? Wanawashwa hawa sio bure
Mbowe na genge lake la kikosi lazi chao lazima yashughulikiwe. Imefika mwisho, ukiona mpaka mama ameacha polisi wafanye kazi hiyo ujue kapewa taarifa za inteligence za kutosha...
 
Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.

Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.

Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli na uki connect dot utaelewa Tundu Lisu alijuaje kama Magufuli anaumwa?
Lisu alikuwa anapewa na nani taarifa za kwamba Magufuli anaumwa na hatapona?

Bila shaka laptop za mbowe zilizokamatwa zimesema mengi kuhusu kundi la kigaidi.
Ni haya makundi ya ugaidi ndiyo yalikuwa yanawapa taarifa.View attachment 1863503
Rubbish
 
kumbe alianzisha harakati za katiba mpya kwa maksudi tu ili ikitokea anakamatwa na polisi basi iwe rahisi kutuhadaa na kuuhadaa ulimwengu eti kuwa kakamatwa kwa kudai katiba mpya!! aisee!!! Mbowe na kundi lake ni zaidi ya majambazi!!
Tunamuomba Msajili wa Vyama akichunguze kwa makini hiki chama cha Chadema inaonekana kuna mtandao mkubwa wa kigaidi/kihalifu/kijambazi nchi nzima, Jeshi letu la Polisi wafanye uchunguzi kwa umakini mkubwa ili kubaini mtandao wote ili washughulikiwe kikamilifu kabla hawaja sababisha madhara kwa wananchi.
Amani ya Tanzania ni Muhimu zaidi kuliko chama cha kigaidi.
Mungu ibariki Tanzania.
Acha kiherehere. Hawa policcm hawajawahi kuwa wakweli kwa lolote.
 
Mbowe and his fellow tricked us by using agenda of "Constitutional reforms" as a shield while knowing that would be arrested any time in connection with terrorist act.
they will be charged with the offence of terrorist Not for demanding constitutional reforms.
Time will tell, unafurahi watanzania wenzako kubambikiwa makosa ya kumnyima dhamana. Muda utaongea!
 
SiempreSSH....

M/Mungu amlinde ,kumpa nguvu,afya na uhai mrefu mh.SSH ,aaaamin!

HAKUNA NAMNA...
NI LAZIMA KAZI IENDELEE.....
Kazi ipi?

1627018503742.png

Ya AFRICAN GODDESS mpya anaeogopa sana KATIBA MPYA BORA
 
Back
Top Bottom