Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Lisu alikuwa anapewa na nani taarifa za kwamba Magufuli anaumwa na hatapona?

Bila shaka laptop za mbowe zilizokamatwa zimesema mengi kuhusu kundi la kigaidi.
Kuna jamaa wa pale jikoni kabisa waliwekewa mitego wakanasa na wameshatimuliwa kazi mmoja wapo alikuwa msaidizi wa karibu kabisa wa asumani. (Hawa ndio walikuwa wanampa na yule jamaa kule twiter za jikoni jikoni ndio maana saa hivi unaona habari mpya zimepungua).
Naomba niisbie hapo
 
Lisu alikuwa anapewa na nani taarifa za kwamba Magufuli anaumwa na hatapona?

Bila shaka laptop za mbowe zilizokamatwa zimesema mengi kuhusu kundi la kigaidi.
Na Mimi, asiumwe yy amekuwa immortal? Mataga nendeni shule hamna kesi hapo
 
Utoporoooo
 
Tuhuma zake zilitakiwa zisubiri mpaka aitishe kongamano la kudai katiba mpya ndo akamatwe?Ni ajabu na kweli kwani inashangaza sana
 
Bila kupoteza Muda nimepenyezewa za chin chini kua Mbowe alijua kua tayari usalama umesha mtambua yeye ni nani na mipango yake hata kabla ya kongamano la Katiba kuanza ivyo akaona njia salama ya yeye kupata Utetezi ni siasa.

Ndio maana wakaanzisha kongamano la katiba ili akikamatwa wanaharaka na viongozi wa vyama pinzani waseme kuwa mbowe kakamatwa sababu ya kongamano la katiba kitu ambacho sio kwel sababu mbowe alikamatwa usiku kabla hata hajaingia kwenye mkutano wala kukutana na watu wake pia mbowe alijua kua anatafutwa na police na ndiomana aliondoka haraka kwenda mwanza sababu alitaka akamatiwe eneo lenye seke seke la siasa.

Pia tujiulize kwann chadema walijua magufuli atakufa na hato maliza muda wake?

Chadema na tundulisu walijuaje magufuli anaumwa na hatopona?

Kwanini miili ya watu iliokotwa sana coco na wala si pwan zingine.

Yote naiman kua mbowe ana majibu
 
Baada ya msemaji wa polisi kuibuka na kuutangazia umma kwamba Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kujiusisha na mambo ya ugaidi imeshtusha sana.

Ni kweli Jeshi la Polisi lina uweledi mkubwa kwenye ugunduzi wa mambo yanayohusiana na uhalifu, lakini kwenye hili tuombe Allah...iwe kweli, ila ikiwa vinginevyo baadhi ya viongozi wawe na tabia ya kuwajibika kwa manufaaa ya Taifa letu pendwa Tanzania.
 
 
Wamefanya kosa kubwa Sana kuitangazia dunia kwamba tanzania kuna ugaidi sijui kama wanajua athari za kuitangazia dunia kwamba kuna ugaidi.
 
Ukweli ndio suluhu ya yote hata kama ni wahalifu lakini wananchi wapatiwe ukweli.

Njama za kuua na kufanya ugaidi sio ndogo.

Wananchi wapewe ukweli juu ya hii saga.
Katiba mpya ndio tatizo kila mtu anajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…