Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndio ujinga wa ccm Tumeona juzi tu kwenye tozo mpya watu hawatumii akili sana kufanya mambo.Hii movie kuhusu viongozi wa CHADEMA imeandaliwa kwa kiwango cha chini mno na inaabua maswali mengi kuliko majibu kuzidi hata ile ya kutekwa kwa MO.
Na kwakuwa jambo hili linaonekana kugusa hisia za watu wengi na kuvuka mipaka ya nchi huku shinikizo likiongezeka, sitashangaa wakati wiwote wakatafutwa watu wa kubebeshwa lawama na hao wanaweza kuwa ni Sirro na pengine hata Boss wa TISS
Inawezekana Mama asiwe na wazo la kubebesha mtu lawama kwa makosa yake, ila wanasiasa wenzake na ambao ni wakongwe ndani ya chama, wanaweza kumshauri afanye uamuzi wa kuwato watu mbuzi wa kafara ili kulinda image yake.
Tuhuma hizi ni nzito, nguvu kuzithibitisha na inaonekana walizi-underestimate huku dunia ikifuatilia hivyo ni lazima wajisafishe na katika kujisafusha huko, Sirro ndio anaeweza kuwa wa kwanza kubebeshwa zigo la lawama ma kuondolewa katika nafasi yake huku Boss wa TISS nae akikalia kuti kavu.
Tusubiri.
[emoji16]Hivi mnawajua magaidi ninyi au mnasema sema tu hapa JF?
Usenge ulichoandika na nimekureport kwa mods wakupige life ban. Huu ndio uchochezi unaohatarisha usalama wa nchi.Usenge ni Nini?
Gaidi kagundulika
Mama amepotoka sana hapa.Kiongozi asiyekemea watendaji wake wanapokosea ni dhahiri anaridhishwa wanachokitenda na amekibariki
Uchochezi ni nini?Usenge ulichoandika na nimekureport kwa mods wakupige life ban. Huu ndio uchochezi unaohatarisha usalama wa nchi.
Kawasimulie wazazi wako kijijini kwenu huo ujinga!Bila kupoteza Muda nimepenyezewa za chin chini kua Mbowe alijua kua Tayar usalama umesha Mtambua Yeye ni Nan na mipango yake hata kabla ya kongamano la Katiba Kuanza ivyo akaona njia salama ya yeye kupata Utetezi ni siasa...
Endelea kupenyezewa inaonekana unaenjoy sana kupenyezewa eehBila kupoteza Muda nimepenyezewa za chin chini kua Mbowe alijua kua Tayar usalama umesha Mtambua Yeye ni Nan na mipango yake hata kabla ya kongamano la Katiba Kuanza ivyo akaona njia salama ya yeye kupata Utetezi ni siasa...
Mama amepotoka sana hapa.
Kama Mbowe na chadema waliweza kujua kuwa jiwe anaumwa na hatopona, basi mumeajiri idala ya usalama isiyokuwa na weledi!! hivyo muache kuweka makada wa chama kwenye kitengo nyeti Kama hicho!!Bila kupoteza Muda nimepenyezewa za chin chini kua Mbowe alijua kua Tayar usalama umesha Mtambua Yeye ni Nan na mipango yake hata kabla ya kongamano la Katiba Kuanza ivyo akaona njia salama ya yeye kupata Utetezi ni siasa...
Hujui madhara ya huu ujinga ni bora ukae kimya.Chadema tulieni dawa iwaingie...
Mnamchukulia poa mama sasha....ngoja awanyooshe.