Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

yaani ma CCM ni miogaa sawa na kunguruu tuu, kusikia mbowe ameenda kwenye kongamano la katiba tuu yakaona ni bora yamfungulie kesi ya uhaini sijui ugaidi

hahaaaa haaaa!!
 
Hii movie kuhusu viongozi wa CHADEMA imeandaliwa kwa kiwango cha chini mno na inaabua maswali mengi kuliko majibu kuzidi hata ile ya kutekwa kwa MO.

Na kwakuwa jambo hili linaonekana kugusa hisia za watu wengi na kuvuka mipaka ya nchi huku shinikizo likiongezeka, sitashangaa wakati wiwote wakatafutwa watu wa kubebeshwa lawama na hao wanaweza kuwa ni Sirro na pengine hata Boss wa TISS

Inawezekana Mama asiwe na wazo la kubebesha mtu lawama kwa makosa yake, ila wanasiasa wenzake na ambao ni wakongwe ndani ya chama, wanaweza kumshauri afanye uamuzi wa kuwato watu mbuzi wa kafara ili kulinda image yake.

Tuhuma hizi ni nzito, nguvu kuzithibitisha na inaonekana walizi-underestimate huku dunia ikifuatilia hivyo ni lazima wajisafishe na katika kujisafusha huko, Sirro ndio anaeweza kuwa wa kwanza kubebeshwa zigo la lawama ma kuondolewa katika nafasi yake huku Boss wa TISS nae akikalia kuti kavu.

Tusubiri.
Huo ndio ujinga wa ccm Tumeona juzi tu kwenye tozo mpya watu hawatumii akili sana kufanya mambo.
 
Chadema tulieni dawa iwaingie...

Mnamchukulia poa mama sasha....ngoja awanyooshe.
 
Bila kupoteza Muda nimepenyezewa za chin chini kua Mbowe alijua kua Tayar usalama umesha Mtambua Yeye ni Nan na mipango yake hata kabla ya kongamano la Katiba Kuanza ivyo akaona njia salama ya yeye kupata Utetezi ni siasa...
Kawasimulie wazazi wako kijijini kwenu huo ujinga!
 
Kwahiyi màgufool alijuaje Lissu atapigwa risasi mpaka akasema

' huwezi kuwa msaliti halafu ukasurvive'
 
Bila kupoteza Muda nimepenyezewa za chin chini kua Mbowe alijua kua Tayar usalama umesha Mtambua Yeye ni Nan na mipango yake hata kabla ya kongamano la Katiba Kuanza ivyo akaona njia salama ya yeye kupata Utetezi ni siasa...
Kama Mbowe na chadema waliweza kujua kuwa jiwe anaumwa na hatopona, basi mumeajiri idala ya usalama isiyokuwa na weledi!! hivyo muache kuweka makada wa chama kwenye kitengo nyeti Kama hicho!!
 
Back
Top Bottom