Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Statement ya msemaji wapolisi inanikumbasha zile Original Komedy za Joti na Mpoki
 
TIS must select intelligent people, not just CCM-bound people with low intelligence.
 
Bi mkubwa si mweupe....

Weupe ni wale wanaotumika kutaka kusababisha nchi isitawalike....

#KaziIendelee
Uzuri ni kwamba kila kilichopangwa tulikijua kabla , Mimi nilikuwa wa kwanza kuandika kwamba MIPANGO YA POLISI KUMBAMBIKIA MBOWE MADAWA YA KULEVYA AU UGAIDI IMEKAMILIKA , Kwa bahati mbaya sana Moderator hakusoma alama za nyakati na kuamua kumerge uzi ule , unatakiwa ujue kwamba kila kinachopangwa tunakijua
 
Stori yenyewe inamkwenda hivi:
Mtu mmoja was Singida ALIJIDAI yeye mgonjwa,mgonjwa was akili,nadhani. Akalazwa hospitali Mwenge.
Halafu yule mtu akaamka usiku akataka kuiba,akaiba silaha chache(kutoka kwenye amoury ya Jeshi,Jeshi maana yake,JWTZ),chache maana yake mbili,tatu.
Mlinzi akamstukia,akamshugulikia. Yule mhalifu sasa yuko ahera.
Kuanzia hapo ndio kuna mjadala,watu wanapojaribu kuelewa exactly what happened. Yule mhalifu katoka wapi? Katumwa na Nani? All kinds of questions arise.
 
Shoots of hope withered at the roots
Great expectation turned
Great disappointment.
 
Naomba jeshi la police msituweke njia panda juu ya kesi ya Mh Mbowe! Wengi wanahusisha ni kesi ya kubumba iliyojaa usiasa tu na ndiyo maana mashinikizo ya kutaka aachiwe yamekuwa mengi.

Naomba Jeshi la Police kupitia kwa mkuu wake IGP Simon Sirro litoe taarifa kamili hasa Mh Mbowe anahusika kwa mauaji ya viongozi wapi wa Serikali au njama walizokuwa wanapanga wakitaka kuwadhuru wakina nani.

Maombi yangu ni hayo tu ili tuondolee tongotongo.

Wasalaam
Jf Member.
 
Sawasawa kabisa. Tuone sasa kama kuna mwekezaji atakaye kuja kuweka pua yake kwenye nchi yenye magaidi kama Tanzania.

Ubongo unapohama kutoka kichwani kwenda kwenye saburi ni shida!
Nigeria kuna ugaidi tena miundombinu ya watu wa mafuta na wafanyakazi wa kigeni wa makampuni hayo hutekwa na magaidi lakini uwekezaji kule unazidi kumea. Usititutishe wewe. Acha Mbowe achunguzwe kwa weledi na kina na polisi na kisha mahakama iachiwe ifanye kazi yake kwa haki. Akiwa hana hatia ama akikutwa na hatia mahakama itasema.
 
RBC banaa...umejaa conspiracy theories....🤣🤣

Tajiri wangu nitakutafuta mwakani unipe AJIRA katika MABANDA YAKO YA SABASABA.....

Bwana Mbowe hatokuwa Rais wa kukuteua balozi UINGEREZA 🤣🤣
 
Naomba jeshi la police msituweke njia panda juu ya kesi ya Mh Mbowe! Wengi wanahusisha ni kesi ya kubumba iliyojaa usiasa tu na ndiyo maana mashinikizo yakutaka aachiwe yamekuwa mengi...
Endeleeni kuwa usingizini,hata wakati fulani ulikuwa mstari wambele kuwashabikia hawa maharamia kwa matendo yao dhidi ya wenye mawazo mbadala,bora kama naweumetoka usingizini.yote hiyo hofu ya madai ya Katiba mpya wanalazimika kurejea kwenye silaha yao kuu ya ubambikaji kesi.
 
Mama ni ceremonial president, kuna watu nyuma yake ndio wanatawala nchi.
Mmoja wao ni huyo Sirro.
Ushamsikia mama anatoa Amri yoyote?

Sirro akitoa maelekezo au amri basi ujue yametoka kwa mama rais SSH

Mdude Nyagali, Tundu na wenzao wakitoa maelekezo au tamko ujue vimetoka kwa mwenyekiti wao

Your browser is not able to display this video.


Vinginevyo utaona uwajibishwaji


Upo!!???
 
Safi sana jeshi la Polisi. Pekueni, chunguzeni na fanyeni kazi yenu kwa weledi bila kusiasisha ili sisi watz tuendelee kutafuta mkate wetu wa kila siku kwa amani. Nawatakieni kazi njema!
 
Mimi ni kibaraka wa utulivu na amani ya Tanzania.....

Waswahili wanasema "TAJIRI HAKUNJIWI NDITA"...
Ndugu,

Unyonge huo, njaa inayodekezwa na woga WAKO ndio vinakufanya ushangilie udhalimu.

Katiba kuukuu iliyopo ni kwa ajili ya miungu watu na LABDA, tena kwa muda tu nyie vibaraka wao.

Ni aibu KUBWA kwa mTZ kuendelea kujivunia udhaifu wakati anastahili HAKI, heshima na maendeleo ya kweli kwa mujibu wa katiba bora.

Badilika sasa ili uepushe balaa ya kurithisha wanao na vizazi vyao matakataka hayo.
 
Watanzania tutaendelea na harakati za ujenzi wa taifa letu sio kufanya vurugu.

kamwe hatuko tayari kufuata nyayo za kigaidi.

watanzania hatuko tayari kuozea jela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…