Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Bila kupoteza Muda nimepenyezewa za chin chini kua Mbowe alijua kua tayari usalama umesha mtambua yeye ni nani na mipango yake hata kabla ya kongamano la Katiba kuanza ivyo akaona njia salama ya yeye kupata Utetezi ni siasa.

Ndio maana wakaanzisha kongamano la katiba ili akikamatwa wanaharaka na viongozi wa vyama pinzani waseme kuwa mbowe kakamatwa sababu ya kongamano la katiba kitu ambacho sio kwel sababu mbowe alikamatwa usiku kabla hata hajaingia kwenye mkutano wala kukutana na watu wake pia mbowe alijua kua anatafutwa na police na ndiomana aliondoka haraka kwenda mwanza sababu alitaka akamatiwe eneo lenye seke seke la siasa.

Pia tujiulize kwann chadema walijua magufuli atakufa na hato maliza muda wake?

Chadema na tundulisu walijuaje magufuli anaumwa na hatopona?

Kwanini miili ya watu iliokotwa sana coco na wala si pwan zingine.

Yote naiman kua mbowe ana majibu
Mtoa mada msenge ww
 
Aiseee, mtoto wa kiume umepenyezewa!!🤔🤔🤔🤔🤔
 
Watu wanakufa kwa maradhi yao ya kujitakia anasingiziwa Mbowe anawauwa ! What a Shame ! Huyo bi mkubwa wenu ni mweupe kuliko maelezo
Bi mkubwa si mweupe....

Weupe ni wale wanaotumika kutaka kusababisha nchi isitawalike....

#KaziIendelee
 
Lile ni genge la kisiasa la CCM! Tangu lini Polisi mwenye kuheshimu kazi yake akapokea maagizo ya mwana siasa? Kama si ujinga ni kitu gani?

Yaani Mbowe ana mashtka ya ugaidi? Wanawashwa hawa sio bure
The thing you have to know ...human being is an predictable creature. The time you think he can't ....he will. So time will tell...let us wait.
 
DG wa TISS anahusika vipi na kukamatwa kwa Mbowe na polisi? TISS imehusika wapi kwenye lile tukio, nani alikuwa hajui kama Mbowe yuko ukumbini mpaka watumie wanausalama kujua. Hii ni issue ya polisi na wao wameagizwa
Waliagizwa na nani?
 
Matusi yenu hayatawasaidia kupata katiba mpya.

Kedi zenu hazitowasaidia lolote.

Watanzania wamewashtukia ninyi mawakala wa nchi zinazopenda ukosefu wa utulivu barani afrika.

Endeleeni kujiotesha ndoto za mchana
Ndugu yangu,
Katiba mpya haizuiliki.
Itakapofikia wakati wake, hata wewe ambae sasa unajivunia ukandamizaji wa haki za binadamu, utakuja lia na kujutia.
Utakapojitambua kuwa hukuhitaji kuwa kibaraka wa madhalimu wa binadamu wenzio, waweza kuja kuwa umechelewa.
Hata watakao kuwa wanapenda kukusamehe wataweza kuwa wamekwisha. Badilika sasa.
 
Mkuu samahani,
Uzi wako unatia kinyaa epuka siasa chafu tambua kuna leo na kesho.
Kunyamaza nako ni busara pia.
 
Ndugu yangu,
Katiba mpya haizuiliki.
Itakapofikia wakati wake, hata wewe ambae sasa unajivunia ukandamizaji wa haki za binadamu, utakuja lia na kujutia.
Utakapojitambua kuwa hukuhitaji kuwa kibaraka wa madhalimu wa binadamu wenzio, waweza kuja kuwa umechelewa.
Hata watakao kuwa wanapenda kukusamehe wataweza kuwa wamekwisha. Badilika sasa.
Mimi ni kibaraka wa utulivu na amani ya Tanzania.....

Waswahili wanasema "TAJIRI HAKUNJIWI NDITA"....

Leo hii mnataka kumkunjia NDITA NA KUMDHALILISHA AMIRI JESHI WA MAJENZI YA ULINZI?!!! 🤣🤣🤣🤣🤣

AMKA NA UBADILIKE NDUGU

Katiba mpya haipo.....haipo ba mkubwa!
 
Mimi ni kibaraka wa utulivu na amani ya Tanzania.....

Waswahili wanasema "TAJIRI HAKUNJIWI NDITA"....

Leo hii mnataka kumkunjia NDITA NA KUMDHALILISHA AMIRI JESHI WA MAJENZI YA ULINZI?!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

AMKA NA UBADILIKE NDUGU

Katiba mpya haipo.....haipo ba mkubwa!
Wewe ni kipofu usiye na fikra.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Bila kupoteza Muda nimepenyezewa za chin chini kua Mbowe alijua kua tayari usalama umesha mtambua yeye ni nani na mipango yake hata kabla ya kongamano la Katiba kuanza ivyo akaona njia salama ya yeye kupata Utetezi ni siasa.

Ndio maana wakaanzisha kongamano la katiba ili akikamatwa wanaharaka na viongozi wa vyama pinzani waseme kuwa mbowe kakamatwa sababu ya kongamano la katiba kitu ambacho sio kwel sababu mbowe alikamatwa usiku kabla hata hajaingia kwenye mkutano wala kukutana na watu wake pia mbowe alijua kua anatafutwa na police na ndiomana aliondoka haraka kwenda mwanza sababu alitaka akamatiwe eneo lenye seke seke la siasa.

Pia tujiulize kwann chadema walijua magufuli atakufa na hato maliza muda wake?

Chadema na tundulisu walijuaje magufuli anaumwa na hatopona?

Kwanini miili ya watu iliokotwa sana coco na wala si pwan zingine.

Yote naiman kua mbowe ana majibu
Chuki haitakusaidia kitu Hujafa hujaumbika lolote hata wewe linawaza Kukupata Kesi za Kubambikiwa Hizo nani hajui? Nia ni kuwaonea Wapinzani kama Mliwasingizia Kumpiga
RISASI AKWILINA Mtashindwa hili la Ugaidi? Lwakatare Mlimsingizia,Mashehe Mliwasingizia itakuwa Mbowe?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Yaaani kama Sirro na huyu diwani na mwanasheria mkuu wa serikali ndio vichwa vinavyotegemewa na rais katika usalama wake basi taifa la Tanzania liko hatarini kama mbuzi wa kufugwa aliyetupwa mbuga ya wanyama pori wala nyama.
Kipindi cha mwendazake walijaribu kumbambikia Mbowe kesi ya madawa kupitia makonda lakini walivyochekecha labda mwendazake alishtuka kuwa watamshabishia yeye amiri jeshi madhara kuliko faida.
Sasa amiri jeshi aliyepo hajashtuka kwa hili famba la polisi.
Madhara yake kwa taifa ni makubwa kuliko hata janga la korona.
Hasa huyo Diwani ni kichwa maji kabisa na huwenda katika ma DGIS wote walioshika nafasi yeye ndio ame under perform, huwa najiuliza hadi sasa aliwezaje kuwa DGIS.

Mwendazake aliiharibu sana Idara
 
Back
Top Bottom