nez-o
Senior Member
- Apr 13, 2019
- 181
- 178
Mtoa mada msenge wwBila kupoteza Muda nimepenyezewa za chin chini kua Mbowe alijua kua tayari usalama umesha mtambua yeye ni nani na mipango yake hata kabla ya kongamano la Katiba kuanza ivyo akaona njia salama ya yeye kupata Utetezi ni siasa.
Ndio maana wakaanzisha kongamano la katiba ili akikamatwa wanaharaka na viongozi wa vyama pinzani waseme kuwa mbowe kakamatwa sababu ya kongamano la katiba kitu ambacho sio kwel sababu mbowe alikamatwa usiku kabla hata hajaingia kwenye mkutano wala kukutana na watu wake pia mbowe alijua kua anatafutwa na police na ndiomana aliondoka haraka kwenda mwanza sababu alitaka akamatiwe eneo lenye seke seke la siasa.
Pia tujiulize kwann chadema walijua magufuli atakufa na hato maliza muda wake?
Chadema na tundulisu walijuaje magufuli anaumwa na hatopona?
Kwanini miili ya watu iliokotwa sana coco na wala si pwan zingine.
Yote naiman kua mbowe ana majibu