Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Vurugu zipi? Wananchi wapi unawasemea? Hivi Unafikiri wananchi ni wapumbavu kama wewe? Wananchi wanaona wanaujua ukweli acha kuendekeza njaa zako kujinufaisha kupitia uonevu unyanyasaji uovu mateso ya kishamba kwa chadema
Kama Wananchi siyo wapumbavu basi Polisi ndio haswa. Hujiulizi iweje wamkamate Mbowe na umaarufu wote huo na kuutangazia Umma kuwa anatuhumiwa ugaidi!!
 
CDM walidekezwa sana na Kikwete, matokeo yake wakamtukana sana na kumpachika jina la dhaifu. Wakataka kumchezea Magu, wakaanza mambo yao ya UKUTA, Magu akawaambia hajaribiwi, wakaufyata kwa miaka mitano. Mother kaingia hata hajamaliza kupitia mafaili yote aliyoyakuta Ikulu wameanza tena vurugu zao na dramas, wameshindwa hata kuwa na subira wampe mother hata miezi sita kwanza apange timu yake kipindi hiki ambacho nchi ina Changamoto nyingi zilizoachwa na utawala wa mwendazake. Last borns CDM!!
Your browser is not able to display this video.
 
Tulisema humu...confrontational politics hazifai..mama Samia is the super president we ever had...the so called opposition walikuwa wamepata opportunity nzuri ya kuangalia upya aina zao za siasa kwa ajili ya maendeleo ya nchi.

Badala ya wao kutumia fursa hio...kwa makusudi kabisa wameamua kuleta unnecessary unrest kwenye jamii..ili tufanye maendeleo tunahitaji utulivu wa pamoja

Mama President said it clear ...yuko open and its time to heal wounds...na akasema she is planning to meet opposition...pia akasema suala la katiba analielewa ila mpeni nafasi kidogo...sasa the so called opposition badala ya kwenda sawa na hekima za mama..wakaanza oooh...tunataka na ni lazima tuonane na ww...ooh tunataka na ni lazima katiba

Nchi yetu ni kubwa na muhimu sana kuliko ill intentions za watu wachache wanaotaka kututoa kwenye reli.

Sheria yetu ya kuzuia ugaidi ya mwaka 2002 iko wazi na makosa chini ya sheria hio yameainishwa wazi...Madam President ni mtu wa haki anayefuata sheria...nalipongeza jeshi la polisi kwa juhudi zake za kuhakikisha utekelezaji wa sheria za nchi

Nalipongeza jeshi la polisi kwa kuendelea kuhakikisha usalama wa rain na Mali zetu
 
Nimemdharau na kumwona SSH kama mtoto wa chekechekea kwa kumbambika kesi ya ugaidi Mbowe. Kweli uliona wapi bundi kwenye kundi la njiwa hii nchi haikupaswa kuongozwa na mzanzibar tena mwanamke na mke wa tatu Kati ya wanawake wanne. Yani hata mumewe hamuamini kumfanya kuwa mke mkubwa.
 
Du,ni wa ndani na familia?
 
Mh Rais bila shaka humzima wa afya.

Naandika haya nikijua pengine polisi wanazo sababu za msingi kumshikilia Mh Mbowe na kumtuhumu kwa kile wanacho kiita "ugaidi" lakini ukweli ni kwamba Mh Mbowe ni mmoja wa watu wema ambao unaweza usiwe na shaka nao kabisa kuwa wanaweza fanya uhalifu wowote wa kudhulu viongozi au mtu fulani.

Mh Mbowe kama binadamu wengine ana madhaifu yake mengi katika kutekeleza shughuli zake za kisiasa lakini ni mmoja wa wanasiasa wasikivu, mvumilivu na mwenye upendo sana hata katika nyakati watu uona ni nyakati mbaya ambazo wengine wasingeweza kufikiwa au kusikiliza ya wengine lakini yeye amekuwa mtu wa tofauti siku zote.

Mh Rais, Mbowe anaweza akaonekana ana chochea vurugu au kuhatarisha amani ya nchi lakini ukweli ni kwamba Mh Mbowe ninayo hakika kabisa awezi kuruhusu mwanachadema yeyote kuhatarisha amani ya nchi yetu.

Mh Rais, Mbowe ni mmoja wa viongozi wenye busara sana pamoja na muda mwingine kuteleza kama binadamu.

Mh Rais unayo nafasi ya kusamehe na kuonesha uelekeo tena. Mh Mbowe ni msikivu atasikia na ni mtu ambaye anaweza ruhusu majadiliano hata katika nyakati ambazo si njema kama hizi.

Mh Rais, mimi sio shabiki wa Mbowe lakini mimi ni mmoja wa shabiki yake kwenye busara zake ambazo nimewai kuzishuhudia katika kushabikia siasa zetu hapa nchini nimeyaona mabaya na mazuri ya Mh Mbowe lakini nadiriki kusema Mh Mbowe ni mmoja wa viongozi wema na kamwe awezi kuwa na ubaya wa kufanya ugaidi.

Mh Rais nina imani utatafakari sana mazuri nas mabaya ya Mbowe lakini nina hakika utakubaliana nami kuwa ana stahili msamaha ana stahili kuachiwa huru.

Wasalaam
 
Kila mmoja apambane na Hali yake Tu sa hv , kama vip wamnyonge Tu yaishe , tuendelee na mambo mengine
 

Sio watu wanasema, sukuma Gang wapo wa kutoa huo ushahidi wa kupika, na hakimu wa kuendesha hiyo kesi yupo, na ameshapangwa hukumu iweje. Ila ukweli tunaujua. Yaani hizi mbinu mnazofany nyie majizi ya kura ni marudio tu, zote zimeshayika. Tena hapo ndipo ni kama mnachelewa, kesi ianze j3 kufika jumatano hukumu iwe imeshatoka.
 
Kibiti inaenda kuanza upya, unyama umyamani, sasa hivi ni ambush mbalimbali mikoani
 
Kama kweli Mbowe gaidi wakati wa Magufuli agemalizwa zamani sana, lakini Tanzania yetu tumejaa mazezeta tunaamini kwa ushabiki tu. Hebu tujiulize wale magaidi wa kibiti,Amboni Tanga na Msumbiji kwanini kila uchaguzi ukimaliza nao hatuwasikii tena?


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Una akili pumbavu
 
Ugaidi aliofanya watu waliona na wapo tayari kumkaanga mahakamani.
Nakukumbusha kuwa hukumu ya gaidi ni kunyongwa.
Ndio nimesema mnachelewa, sukuma Gang toeni ushahidi hata kuanzia j3 na kufikia j5 anyongwe hapo uwanja wa Mkapa saa 6 mchana. Uzuri hata mahakimu mnawapanga nyie nyie sukuma Gang. Na safari hii hakuna anayemuwekea dhamana wala kumfuatilia huko mahakamani. Kwahiyo ameachiwa goli wazi, wekeni ushahidi wowote muutakao, mkiona hautoshi wekeni na makosa aliyowahi kufanya baba yake, na ndugu zake wote ili ushahidi unoge zaidi. Ila kwa sasa tunawachora tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…