Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi juwa mkuu Prof Koboko.Mpaka sasa jeshi la Polisi bado halijauambia umma wa watanzania ni kwanini Msemaji wake ndugu Davido Misime alisema kua Mbowe alikabiliwa na kesi ya Kupanga njama ya kuua viongozi wa juu wa serikali na hii tuhuma kwanini waliiondoa kwenye hati ya mashtaka na ikabaki ya kulipua vituo vya mafuta na Uhujumu uchumi? Kwanini DPP hakuleta Shtaka hili? Polisi walidanganya kwa maslahi ya nani? Waliogopa kuumbuka kwa kukosa ushahidi?
Shaka kua mashtaka dhidi ya Mbowe ni ya uongo na kubambikiza na yanafanana na hili waliloliondoa, waliogopa kukosa ushahidi maana wangesema ni kiongozi yupi wa juu wa serikali mpaka Mbowe apange njama za kumuua. Kama mashtaka haya ni ya kubambikiza basi hii dhambi itamuadhibu mtu muda ukifika.
Hii ilikua ni aibu sana kutaja kitu ambacho hakipo ili kumchafua taswira yake ya kisiasa kwa maslahi ya kikundi kidogo cha watu wachache.Na kamwe hili halitakubalika na mwisho wake ni mgumu.
Si hivyo tu.Alisema,yeye pamoja na Sirro,kwamba ushahidi wanao mwingi hadi wakiubeba kwa mikono unamwagika.Ajabu lililojiri:Kila kesi ikisomwa wanaomba udhuru wa kutokukamilika upelelezi.Members, kwa Mujibu wa msemaji wa Polisi David Misime mbele ya vyombo vya habari alisema Mbowe alikula njama kutaka kuua viongozi wa serikali, Lakini Ghafla siku ya kesi kutajwa mahakamani hati ya mashtaka ikabadilishwa na wa kaamua kukiondoa kipande alichokizungumza msemaji wa Polisi na kuamua kuweka Mbowe alikula njema kulipua vituo vya mafuta...
Hapo utakuwa unaandika huku umekaza mishipa ya kiuno kwa sonona!Chadema sio chama cha siasa ni Genge la wahuni mchanganyiko wa magaidi.
Msajili alipaswa afutilie mbali hili Genge la kihalifu ambalo nia na dhamira yake ni kuvuruga amani ya nchi yetu...
CCM ipo imara sana.Members, kwa Mujibu wa msemaji wa Polisi David Misime mbele ya vyombo vya habari alisema Mbowe alikula njama kutaka kuua viongozi wa serikali, Lakini Ghafla siku ya kesi kutajwa mahakamani hati ya mashtaka ikabadilishwa na wa kaamua kukiondoa kipande alichokizungumza msemaji wa Polisi na kuamua kuweka Mbowe alikula njema kulipua vituo vya mafuta...
Huko mbeleni tuendako ni Mwenyezi Mungu pekee ndiye anayeweza kusimama na wenye haki.Rais hatakiwi kufanya siasa kwa kuongea uongo, anatakiwa kuongea facts.
Samia hatufai na katiba ya sasa haitufai. Tutadai katiba mpya usiku na mchana.
Dada umeongea kwa kuegemea upande mmoja,jitahidi kubalance.Chadema sio chama cha siasa ni Genge la wahuni mchanganyiko wa magaidi.
Msajili alipaswa afutilie mbali hili Genge la kihalifu ambalo nia na dhamira yake ni kuvuruga amani ya nchi yetu.
Chadema ni Genge la kihalifu lililo jificha chini ya mwamvuli wa chama cha kisiasa.
vyombo vyetu vya dola vinapaswa vitazame genge hili kwa jicho la tatu.
Kesi ya Freeman Mbowe inatuonyesha mambo mengi yaliyo sirini, Huku mtaani ukiangalia suala la Tozo la miamala na ishu ya Mbowe wengi wanamuoana Rais alishapoteza uelekeoMembers, kwa Mujibu wa msemaji wa Polisi David Misime mbele ya vyombo vya habari alisema Mbowe alikula njama kutaka kuua viongozi wa serikali, Lakini Ghafla siku ya kesi kutajwa mahakamani hati ya mashtaka ikabadilishwa na wa kaamua kukiondoa kipande alichokizungumza msemaji wa Polisi na kuamua kuweka Mbowe alikula njema kulipua vituo vya mafuta....
Ndio maana mungu anawanyofoa ibilisi wenu mmoja mmoja ili kuliponya taifa mateso na uhalifu mnaowafanyia chadema Kama wangekuwa wahalifu wangeshalitarite (retaliation) lakini kwa uvumilivu mkubwa chadema wanawageuzia na shavu la upande wa pili. Jiulize ni lipi hamjawafanyia chadema?Chadema sio chama cha siasa ni Genge la wahuni mchanganyiko wa magaidi.
Msajili alipaswa afutilie mbali hili Genge la kihalifu ambalo nia na dhamira yake ni kuvuruga amani ya nchi yetu...