Freeman Mbowe: CCM ijenge mifumo ya kudhibiti viongozi wake ndani ya Chama ili wasiumize Watanzania

Kweli lakini
 
chadema kuna mfumo gani wa kumdhibiti yeye mnywa konyagi kua mwenyekiti wa maisha wa chama cha 'demokrasia'?
 
chadema kuna mfumo gani wa kumdhibiti yeye mnywa konyagi kua mwenyekiti wa maisha wa chama cha 'demokrasia'?
Msanii tu huyo. Zitto aliwahi kuwachimba mkwara kwamba wakimdhuru kama Wangwe, hata mende kwenye makabati yao hawatasalimika.

Waliokuwa wanatafuta kumdhuru Zitto hawakuwa watu wa ccm. Wengine tuliambiwa wanazunguka na sumu za panya mfukoni wakivizia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…