Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimesikia tukio la Mbowe kuwaita waandishi wa habari leo wabongo hawajaliacha lipite bure pasipo faida, kuna watu wameweka mzigo wengine waka bet kwamba Mbowe atagombea, wengine wakisema hatagombea.
Watu wamekunja nne wakisubiri matokeo iliwajue kama mkeka ume tick au umechanika
 
Unaandika kua HAKUPIGWA risasi,halafu unasndika pia aliyempiga ni Bashite,Lissu angekua siyo mpinzani halisi,asingemiminiwa zile risasi,ilikua ni suala la kumpigia simu tu,anapangwa hiki ongea hiki usiongee.
Mi hawezi akajitokeza mtu akasema hakuna mpinzani wa kweli nchini,ilhlali Lissu nimemjua na movements zake,tokea zamani,akiwa mzima wa mwili hadi sasa ambapo kawa mlemavu wa iudumu.
 
Maneno meeengi, hivi ccm utajengaje unit na watu wanyonyaji na wezi?
 
Wapumbavu hawatakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…