PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Nimesikia tukio la Mbowe kuwaita waandishi wa habari leo wabongo hawajaliacha lipite bure pasipo faida, kuna watu wameweka mzigo wengine waka bet kwamba Mbowe atagombea, wengine wakisema hatagombea.
Watu wamekunja nne wakisubiri matokeo iliwajue kama mkeka ume tick au umechanika
Watu wamekunja nne wakisubiri matokeo iliwajue kama mkeka ume tick au umechanika