Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
.........Ila hata mimi ningekuwa FAM nisingetoka kirahisirahisi, Kuwa mwenyekiti kunampa madeal kibao ya vibunda bado anazipiga sana nyapu za mabint wanaotaka uongozi au ubunge viti maalumu mwacheni ale raha.
 
.........Ila hata mimi ningekuwa FAM nisingetoka kirahisirahisi, Kuwa mwenyekiti kunampa madeal kibao ya vibunda bado anazipiga sana nyapu za mabint wanaotaka uongozi au ubunge viti maalumu mwacheni ale raha.
Na wewe nenda kale nyapu
 
Mwenyekiti wenu wa kudumu

Ova
 
Kilicho baki kunywa sumu ufe tuu boss
Siwezi kunywa sumu kwa vile nina maisha bora sana nje siasa. Sijawahi kunufaika hata kwa senti moja na siasa bali nimetoa pesa zangu kuchangia Chadema. Hivyo sana sana nimekuwa relieved. Ninachosikitika tu ni kuwa katika kilichokuwa kinaendelea kwa wiki kadhaa ndani ya Chadema CCM ndiyo imeibuka kidedea. Imekwisha .
 
UKISIKIA MTU KWAMBA ANAACHA UANACHAMA KISA MBOWE KATANGAZA KUGOMBEA JUA HUYU NI TAPELI KAMA TAPELI WENGINE ,MBOWE KATIMIZA WAJIBU WAKE ,ANAFIKILI BADO ANAFAA. HII SIO SHIDA.

NI MDA WA WAJUMBE KUAMUA MBIVU NA MBICHI KATIKA UCHAGUZI ULIO HURU ,TUME HURU ,HAKUNA CHA DANADANA , KAMPENI ZA KUNADI KILA MGOMBEA AMPENDAE KASI IONGEZEKE SASA BADALA YA KUKIMBIA VITA
 
Safi sana Mwamba,kwanini wanaogopa box la kura?
 
πŸ₯±πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…