Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna wote wajinga tuuTokea nipo darasa la 7 mpaka leo nina familia bado ni Mwenyekiti tu? Kwamba hakuna wengine wenye uwezo huo?
Waambie waambie hao wapumbavuTeam lissu hasira za nini ? munaogopa uchaguzi? mlitaka msiwe na mshindani?
Huku jf wamejaa tu kuandika andikaJaman anzishen chama chenu kama zito shida ipo wap?
Na wewe nenda kale nyapu.........Ila hata mimi ningekuwa FAM nisingetoka kirahisirahisi, Kuwa mwenyekiti kunampa madeal kibao ya vibunda bado anazipiga sana nyapu za mabint wanaotaka uongozi au ubunge viti maalumu mwacheni ale raha.
Mmekuwaje leo lakini, bandugu na barafiki humu JF?Kichwa kubwa lakin limekosa hekima
Waambie waambie vilaza haoHuku jf wamejaa tu kuandika andika
Watu wanafanya yao
Mwenyekiti wenu wa kudumuAsante Mungu kwa kusaidia Mhe. Mbowe Freeman awe mwenyekiti wetu kwa mara nyingine. Nilikuwa na wasiwasi kama angekataa kugombea upinzani ungekufa kabisa.
I can't imagine siasa ya Tanzania bila mhe Mbowe. Ananifurahisha anavyoninyooshea chama Cha mbogamboga
Disko limeingia masaiMmekuwaje leo lakini, bandugu na barafiki humu JF?
Milele mbona ccm imedumuMwenyekiti wenu wa kudumu
Ova
Incumbency inaharibu uchaguzi, maana hata kamati za uchaguzi anaandaa yeye sasa kuna namna gani hapo Lissu kushinda?Team lissu hasira za nini ? munaogopa uchaguzi? mlitaka msiwe na mshindani?
Nyie vilaza nini?si mkapige kura?mbona mnaogopa kuraLeo ndio tutajua Mbowe ni mpinzani wa kweli au mamluki,
CHADEMA lazima ipasuke lazima,
Siwezi kunywa sumu kwa vile nina maisha bora sana nje siasa. Sijawahi kunufaika hata kwa senti moja na siasa bali nimetoa pesa zangu kuchangia Chadema. Hivyo sana sana nimekuwa relieved. Ninachosikitika tu ni kuwa katika kilichokuwa kinaendelea kwa wiki kadhaa ndani ya Chadema CCM ndiyo imeibuka kidedea. Imekwisha .Kilicho baki kunywa sumu ufe tuu boss
Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa.
Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo.
Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne nyuma ya Tundu Lissu na Odero Odero,
Je, kama Taifa tunatarajia nini kutoka Upinzani kuelekea 2025?
Usiondoke hapa Jf kwa habari zaidi
=======================================
Siku ya leo Disemba 12, 2024 Freeman Mbowe ametangaza rasmi kugombea kwa mara nyingine nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Mbowe amsema kuwa kutokana na Uchaguzi mkuu ambao unakuja si vyema kubadilisha "makamanda" na kwamba bado yupo sana kuongoza chama hicho na mara baada ya mkutano anaenda kuchaukua fomu kwenye makao makuu ya chama hicho, Mikocheni.
"Kwa kuzingatia yote haya na mengine mengi ambayo sitaki kuwachosha. Nilisema mara nyingi kuwa nilitamani kuondoka lakini siwezi kuondoka katikati ya minyukano iliyopo. Kwa hiyo CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea"
View: https://www.youtube.com/live/8WGa7Xv3hKo?si=JjooipgRmN035_2F
Fupi kama mkia wa mbuziUmenifundisha kitu leo!
"Wanaoachia ngazi huwa ni hotuba fupi sana"
😁