Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nakuona mfuasi wa chama tawala unatoa somo mujarabu la demokrasia kwa wapinzani. Hatari sana mambo haya.
 
Sasa wakulungwa kuna haja gani ya Lissu kusubiri uchaguzi ufanyike wakati uhakika wa kushinda ni mdogo, au asubiri matokeo ndio chama kipasukepasuke mbowe aanze upya kukisuka? ila itachukua miaka mingi chama hicho kuja kuwa na nguvu tena kama kitakuwepo mpaka wakati huo
 
Tokea nipo darasa la 7 mpaka leo nina familia bado ni Mwenyekiti tu? Kwamba hakuna wengine wenye uwezo huo?
Wapo ila tamaa hazimwachi afanye hvo na ndo walivo hao watu, hata mtei aliachia kwa sababu alimuweka mtu wake ambaye anajua atamwendesha, vinginevo mtei mpaka leo angekuwa mwenyekt wa chadema, na mbowe hataoacha kugombea labda afe au amrithishe mtoto wake.
 
Jaman anzishen chama chenu kama zito shida ipo wap
 
Kapigeni kura nyie na mlinde kura,sio mnalia lia kama watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…