Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hili la kumtetea ni wazi kabisa, Lisu amefanyakazi kubwa kupanguwa kesi zote za Diwani Chacha Wangwe.Hivyo kwenye lile sakata 2008 Lissu alikuwa mwanasheria wa CHADEMA. Believe me ninakumbuka kabisa Lissu kusema kamtetea sana Wangwe.Na anashangaa Wangwe kutaka kumwaga mbonga.
Sio yeye tu Mzee Edwin mkwewe ndo remote ya chama.Aache uroho wa madaraka
Njia zote zikikwama milango mipya itafunguka.Busara Finyu.
CCM itaendelea kutupiga...
Sio yeye tu Mzee Edwin mkwewe ndo remote ya chama.Aache uroho wa madaraka
Hivi nikweli muanzilishi wa kutengeneza mavuvuzela ni south África?Akigombea unajua wazi atatembeza pesa sana kiasi kwqmba mpinzani wake atateswa kwa hila za rushwa.
Lkn akigombea nimjuavyo Lissu atamwanika hadharani uovu wote, wapo ndipo hali itakuwa tet
Kuna vyama zaidi ya 20 kwa nini mng'ng'anie Chadema? Mnataka mtafuniwe mmeze tu, hivi leo ukaribishwe CHAUMA halafu unataka Mzee Rungwe akuachie chama kirahisi tu?Sio yeye tu Mzee Edwin mkwewe ndo remote ya chama.
Mwenyekiti kutoka hapo ni siku amuache mkewe labda.
Yuko hapo kwenye hiyo saccos mpaka mwisho.
Kaeni kwa kutulia.
Wewe ndio unabusara sio?Busara Finyu.
CCM itaendelea kutupiga...
Maamuzi ya kukurupuka yanaweza kusababisha CDM ifutwe. Huyu TAL ameonesha kutoaminika na ni mtovu wa nidham kwa VIONGOZI . Hawezi kukabidhiwa chama kubwa kama hii. Period!team Lissu wamepigwa na kitu kizito chenye ncha kali cha kichwa
Mtajijua.. bakini na ujinga wenuWewe ndio unabusara sio?
Lissu yupo Chadema kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Lissu ndiye aliyemtetea bure Chacha Wangwe na kumtoa jela na ndipo Mbowe akamuomba ajiunge Chadema akitokea NCCR Mageuzi.Wapi nimeongopa? Lisu alikuwepo Chadema wakati wa Chacha Wangwe? Sina memory tu exactly alijiunga lini lakini hoja wakati wa Chacha Wangwe Lisu hakuwa Chadema, hii ndio hoja.
Hawezi kukosa kila kitu kwani akili zake anazo na taaluma yake anayo.TAL atakosa Kila kitu!
May be ataanzisha kanisa!
Kwani wewe umeelewaje?Demokrasia ni kupiga kura na kupigiwa kura
Demokrasia mnayoitaka nyie ni ipi?
Hili nalifahamu, ni Mbowe ndiye aliyemuomba Lisu amtetee Chacha Wangwe pamoja na wananchi, na ni Mbowe ndiye aliyemshawishi Lisu kujounga Chadema.Lissu yupo Chadema kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Lissu ndiye aliyemtetea bure Chacha Wangwe na kumtoa jela na ndipo Mbowe akamuomba ajiunge Chadema akitokea NCCR Mageuzi.
UongoLabda hapa twende sawa, Mbowe ndio alimtuma Lisu kwenda kumtegea Chacha Wangwe ambaye alikuwa ni diwani wa Tarime na alikuwa amebambikwa kesi nyingi lakini Mbowe kipindi hicho alidhani Lisu ni Chadema kumbe Lisu ni mwanachama wa Nccr Mageuzi.
Kwahiyo hizo kesi za Chacha Wangwe ndio zilimfanya Mbowe kuongea na Lisu amtetee Chavha Wangwe pamoja na wananchi, kwahiyo link ya Chacha Wangwe kuwa Karibu na Lisu link ni Mbowe.
Nimeona niweke record sawa.
Mkuu unataka kutwambia Lissu akikosa kuchaguliwa chadema kitakufa?? Jidanganye TU. Waacheni wenye vyama waamue ya kwao. Kwanza nyie waoga sana❗Iko hivi kama Lissu ata sense uchaguzi utakumbwa na udananyifu ni bora ajitoe na aondoke CHADEMA amuachie mwenye chama hicho tuone kama kitapata tena ushawishi kwa wananchi
A good dancer must know the time to leave the stage.Lazima agombee tena
Ukweli ni upi?Uongo
Si mbaya, kikubwa kusiwe na uwezekano wa kuibiana kura. Kila mtu aone(au mwakilishi wake aone).Ili Kukata mzizi wa fitina kura zihesabiwe hadharani na kila mgombea apewe kura zake ahesabi mwenyewe.
Kukomesha fitina dawa ni hiyo tu.