Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hili la kumtetea ni wazi kabisa, Lisu amefanyakazi kubwa kupanguwa kesi zote za Diwani Chacha Wangwe.Hivyo kwenye lile sakata 2008 Lissu alikuwa mwanasheria wa CHADEMA. Believe me ninakumbuka kabisa Lissu kusema kamtetea sana Wangwe.Na anashangaa Wangwe kutaka kumwaga mbonga.
Kumwaga mboga ni porojo tu za wanasiasa. All in all wakutane kwenye box, vinyago alivyovichonga mwenyewe Mbowe haviwezi kumtisha.