Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivyo kwenye lile sakata 2008 Lissu alikuwa mwanasheria wa CHADEMA. Believe me ninakumbuka kabisa Lissu kusema kamtetea sana Wangwe.Na anashangaa Wangwe kutaka kumwaga mbonga.
Hili la kumtetea ni wazi kabisa, Lisu amefanyakazi kubwa kupanguwa kesi zote za Diwani Chacha Wangwe.

Kumwaga mboga ni porojo tu za wanasiasa. All in all wakutane kwenye box, vinyago alivyovichonga mwenyewe Mbowe haviwezi kumtisha.
 
Sio yeye tu Mzee Edwin mkwewe ndo remote ya chama.
Mwenyekiti kutoka hapo ni siku amuache mkewe labda.
Yuko hapo kwenye hiyo saccos mpaka mwisho.
Kaeni kwa kutulia.
Kuna vyama zaidi ya 20 kwa nini mng'ng'anie Chadema? Mnataka mtafuniwe mmeze tu, hivi leo ukaribishwe CHAUMA halafu unataka Mzee Rungwe akuachie chama kirahisi tu?
 
Wapi nimeongopa? Lisu alikuwepo Chadema wakati wa Chacha Wangwe? Sina memory tu exactly alijiunga lini lakini hoja wakati wa Chacha Wangwe Lisu hakuwa Chadema, hii ndio hoja.
Lissu yupo Chadema kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Lissu ndiye aliyemtetea bure Chacha Wangwe na kumtoa jela na ndipo Mbowe akamuomba ajiunge Chadema akitokea NCCR Mageuzi.
 
Ingekuwa yupo peke yake ndo ingekuwa shida ila Lissu yupo pale anagombea.kama wanachadema hawamtaki Mbowe Wana chaguo la kumchagua Lissu na hapo kirahisi kabisa Mbowe hatakuwa mwenyekiti tena.
Siasa zetu ndo zimefikia hapo,miaka inaenda wenyeviti ni hao hao kina Lipumba.Bado kuna rais ambaye angeweza kukaa muda mrefu zaidi kwa jinsi wafuasi wake walivyokuwa wanamkubali.Na mambo haya huanza kwa mwanachama wa kawaida kabisa mpaka viongozi wa juu.
Kilichobaki ni rahisi kama hatakiwi kweli hatachaguliwa.
 
Lissu yupo Chadema kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Lissu ndiye aliyemtetea bure Chacha Wangwe na kumtoa jela na ndipo Mbowe akamuomba ajiunge Chadema akitokea NCCR Mageuzi.
Hili nalifahamu, ni Mbowe ndiye aliyemuomba Lisu amtetee Chacha Wangwe pamoja na wananchi, na ni Mbowe ndiye aliyemshawishi Lisu kujounga Chadema.

Unaposikia Mbowe anaitwa mwamba basi ni mwamba kweli, orodha kwa uchache Mwamba aliwashawishi hawa kujiunga Chadema, Zitto Kabwe, John Mnyika, Halima Mdee, Joseph Mbilinyi Sugu, Joseph Haule Profesa Jay, Godbless Lema kwa uchache hao watu maarufu mwamba ndio kawaingiza Chadema, hii ni talent and charismatic.
 
Labda hapa twende sawa, Mbowe ndio alimtuma Lisu kwenda kumtegea Chacha Wangwe ambaye alikuwa ni diwani wa Tarime na alikuwa amebambikwa kesi nyingi lakini Mbowe kipindi hicho alidhani Lisu ni Chadema kumbe Lisu ni mwanachama wa Nccr Mageuzi.

Kwahiyo hizo kesi za Chacha Wangwe ndio zilimfanya Mbowe kuongea na Lisu amtetee Chavha Wangwe pamoja na wananchi, kwahiyo link ya Chacha Wangwe kuwa Karibu na Lisu link ni Mbowe.

Nimeona niweke record sawa.
Uongo
 
Iko hivi kama Lissu ata sense uchaguzi utakumbwa na udananyifu ni bora ajitoe na aondoke CHADEMA amuachie mwenye chama hicho tuone kama kitapata tena ushawishi kwa wananchi
Mkuu unataka kutwambia Lissu akikosa kuchaguliwa chadema kitakufa?? Jidanganye TU. Waacheni wenye vyama waamue ya kwao. Kwanza nyie waoga sana❗
 
Back
Top Bottom