Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msikate tu jina lake kwenye CC.Maana iam sure mkutano mkuu Lissu atapata kura nyingi tu.Kilimanjaro pekee ndo watampa mbowe .
Yani Lisu akatwe jina kwa lipi? Lisu si tishio kwa Mbowe kwenye uchaguzi huu, Mbowe alishamaliza uchaguzi kwenye kanda, kura za Lisu ndio ha kina Msigwa chali amekimbilia ccm.

Uchaguzi ni numbers, weka hilo akilini save hii post utaona Lisu atakavyopigwa kwa margin kubwa.
 
Kila baada ya miaka 10 CCM tunabadili mwenyekiti ila hawa wapinzani kama hii NGO ya mbowe hahaha yaani eti anaona ana haki ya kuendelea kuwa mwenyekiti wa NGO hahaha yaani CCM tutaendelea kutawala mpaka vitukuu
Kutowa fomu moja huo ni uchaguzi au vichekesho? Sasa mwenyekiti wwnu huwa anashinda kwa kushindana na nani? Hebu tueleze.
 
Kumbe nia yako ni kubishana, mimi ni wrong person, siko tayari kwa hilo, watu wote wenye akili wanajuwa Lisu ameletwa na Mbowe, sasa chuki zako kwa Mbowe zinakutia upofu na kujitoa akili.
Umekuja na utetezi badala ya kuthibitisha ulichosema. Chuki ya mbowe mimi ya nini? Mm sio chadema, namchukiaje mbowe?
Uko defensive kweriii kweriii(in jiwe voice)
 
😹😹😹
Hivi nyie mlikaa mkasubiri kabisa Mbowe asigombee??
Hiko chama cha baba mkwe wake, hawezi kumuachia TAL hata kwa dawa….!!

Haya wakereketwa tukae kwa kutulia gari ndo kwanza lipo mbuyuni soon tunapandisha kitonga.
Dj waleteee…. 🤣🤣🤣
 
21 yrs bado ana ng'ang'ania? Atatueleza nini tena kuhusu mambo ya democracy huku akiwa kandamiza wengine katika chama chake, huyu ndo ana sababisha kudumaa kwa democracy nchini. Mwenye kiti wa milele na justifications za kijinga eti mtei alistaafu na miaka 68 na yeye anataka kubaki madarakani hadi miaka hiyo.
 
Kuna vyama zaidi ya 20 kwa nini mng'ng'anie Chadema? Mnataka mtafuniwe mmeze tu, hivi leo ukaribishwe CHAUMA halafu unataka Mzee Rungwe akuachie chama kirahisi tu?
Poyoyo katika ubora wako, km Chadema im sure we unajiunga mi nilikua huko. Kitambo tu hata hakikua chama halisi.
Kuhamia wapi kwa mfano?
Hakuna chama cha upinzani Tanzania.

Kuna vikundi vya watu wanagombea kula yao basi
 
Kutowa fomu moja huo ni uchaguzi au vichekesho? Sasa mwenyekiti wwnu huwa anashinda kwa kushindana na nani? Hebu tueleze.
Iko hivi bosi sisi mwenyekiti anaenda na mhula, ukiisha haruhusiwi kugombea tena. Ingependeza tuongeona wapinzani wanakuwa na vipindi vya muhula kwa uenyekiti
 
Kwenye hotuba yake Mbowe kasisitiza ya kwamba Wenyeviti wa CHADEMA waliotangulia walistaafu wakiwa na miaka 68 kwa Mtei na 67 kwa Makani. Hivyo yeye bado anamiaka mitano afikishe 68.

Najiuliza swali je, ni kwamba yeye anatumika umri wa miaka 68 kama kigezo cha kugombea uenyekiti au anagombea uenyekiti maana ana mzigo wa kukitumikia chama Cha CHADEMA.
Mkuu, gunia la mkaa likipelewa mzigo, wenyewe huwa wanaongezea hata majani mabichi ili kulitunisha kilemba.
 
Back
Top Bottom