Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Yani Lisu akatwe jina kwa lipi? Lisu si tishio kwa Mbowe kwenye uchaguzi huu, Mbowe alishamaliza uchaguzi kwenye kanda, kura za Lisu ndio ha kina Msigwa chali amekimbilia ccm.Msikate tu jina lake kwenye CC.Maana iam sure mkutano mkuu Lissu atapata kura nyingi tu.Kilimanjaro pekee ndo watampa mbowe .
Kutowa fomu moja huo ni uchaguzi au vichekesho? Sasa mwenyekiti wwnu huwa anashinda kwa kushindana na nani? Hebu tueleze.Kila baada ya miaka 10 CCM tunabadili mwenyekiti ila hawa wapinzani kama hii NGO ya mbowe hahaha yaani eti anaona ana haki ya kuendelea kuwa mwenyekiti wa NGO hahaha yaani CCM tutaendelea kutawala mpaka vitukuu
Umekuja na utetezi badala ya kuthibitisha ulichosema. Chuki ya mbowe mimi ya nini? Mm sio chadema, namchukiaje mbowe?Kumbe nia yako ni kubishana, mimi ni wrong person, siko tayari kwa hilo, watu wote wenye akili wanajuwa Lisu ameletwa na Mbowe, sasa chuki zako kwa Mbowe zinakutia upofu na kujitoa akili.
Ni mara mia fomu moja ya ccm kuliko kiini macho cha mbowe chadema.Kutowa fomu moja huo ni uchaguzi au vichekesho? Sasa mwenyekiti wwnu huwa anashinda kwa kushindana na nani? Hebu tueleze.
Hapa ndio kipimo cha akili yako ya shake well before use.Ni mara mia fomu moja ya ccm kuliko kiini macho cha mbowe chadema.
Katiba ya CHADEMA inasemaje kuhusu ukomo wa uongozi?Ila sasa miaka 21 inatosha.Hatukatai kuwa kafanya kazi kubwa.Ila kipindi hiki angeachia na wengine.
Katiba ya CHADEMA inasemaje kuhusu ukomo wa uongozi?
[/QUOTE
Hamna ukomo wa uongozi.
Hakuna ukomo.Na kipengele cha ukombo alipendekeza huyu huyu Mbowe kukiondoa 2006.Other wise wakati chama kinaanzaishwa Ukomo ulikuwepo .Katiba ya CHADEMA inasemaje kuhusu ukomo wa uongozi?
Sasa haina shida box la kura liamue.Hakuna ukomo.Na kipengele cha ukombo alipendekeza huyu huyu Mbowe kukiondoa 2006.Other wise wakati chama kinaanzaishwa Ukomo ulikuwepo .
Poyoyo katika ubora wako, km Chadema im sure we unajiunga mi nilikua huko. Kitambo tu hata hakikua chama halisi.Kuna vyama zaidi ya 20 kwa nini mng'ng'anie Chadema? Mnataka mtafuniwe mmeze tu, hivi leo ukaribishwe CHAUMA halafu unataka Mzee Rungwe akuachie chama kirahisi tu?
Iko hivi bosi sisi mwenyekiti anaenda na mhula, ukiisha haruhusiwi kugombea tena. Ingependeza tuongeona wapinzani wanakuwa na vipindi vya muhula kwa uenyekitiKutowa fomu moja huo ni uchaguzi au vichekesho? Sasa mwenyekiti wwnu huwa anashinda kwa kushindana na nani? Hebu tueleze.
bas tuwaache ccm wafanye Yao pia pumbav zenu..Huku jf wamejaa tu kuandika andika
Watu wanafanya yao na yanaenda
Njoo tulimebas tuwaache ccm wafanye Yao pia pumbav zenu..
Tusiskie kelele Tena.
Mkuu, gunia la mkaa likipelewa mzigo, wenyewe huwa wanaongezea hata majani mabichi ili kulitunisha kilemba.Kwenye hotuba yake Mbowe kasisitiza ya kwamba Wenyeviti wa CHADEMA waliotangulia walistaafu wakiwa na miaka 68 kwa Mtei na 67 kwa Makani. Hivyo yeye bado anamiaka mitano afikishe 68.
Najiuliza swali je, ni kwamba yeye anatumika umri wa miaka 68 kama kigezo cha kugombea uenyekiti au anagombea uenyekiti maana ana mzigo wa kukitumikia chama Cha CHADEMA.