Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bado mwali hajatoka anamalizia makeup
IMG_2327.png
 
Ina Mbowe yamepiga chenga ya mwili manjangu yote ya chama na serikali na hata wanachadema wote kiasi kwamba hakuna anayejua msimamo wake hadi atamke mbele ya waandishi wa habari?

Thumbs up to ya Mr. FA Mbowe kwa usiri. Jitokeze sasa mzee maana huku nchi nzima inangoja tamko lako. Wanaccm hatulali siku ya 3 tangu juzi.
 
Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa.

Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo.

Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne nyuma ya Tundu Lissu na Odero Odero,

Je, kama Taifa tunatarajia nini kutoka Upinzani kuelekea 2025?

Usiondoke hapa Jf kwa habari zaidi,


View: https://www.youtube.com/live/8WGa7Xv3hKo?si=JjooipgRmN035_2F

Uenyekiti amwachie lema tu
 
Back
Top Bottom