Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Sawasawa mkuu 🤣🤣🤣.Mambo ya siasa yakiwashinda kabisa mje simiyu huku tulime,mapori kibao 😝😝
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawasawa mkuu 🤣🤣🤣.Mambo ya siasa yakiwashinda kabisa mje simiyu huku tulime,mapori kibao 😝😝
Yani leo unawatuhumu wajumbe wanapewa rushwa na Abdul, kesho wajumbe haohao uwaombe kukupigia kura? Mwambieni Lisu cha kwanza ajifunze kutokuwa mropokaji, na kuna vitu vya kweli pia hutakiwi kuongea public, hii ni kanuni ya maisha inamuhusu binadamu yeyote.Usinilishe maneno mkuu, mimi Lissu wakwangu Mbowe pia wa kwangu, ila msimamo wangu kwa sasa ,wajumbe Mleteni lissu, Mbowe kama chama hatakiwi kuachwa bado anahitajika ila kwa sasa wajumbe Mleten lissu period Mungu bariki mikono ya wajumbe, na ni matumaini yangu Mbowe pia atampigia lissu kura
Kapige kura weweKwa heri Chadema.Kweli Chama hicho ni Saccos ya watu.
Haya "matusi" yenu, ndiyo yatakayomfanya agombee tena!
Mbowe alifikiri saa 48 ni nyingi?
Waambie hao vilazaYani leo unawatuhumu wajumbe wanapewa rushwa na Abful, keshobwajumbe haohao uwaombe kukupigia kura? Mwambieni Lisu cha kwa ajifunze kutokuwa mropokaji, na kuna vitu vya kweli pia hutakiwi kuongea public, hii ni kanuni ya maisha inamuhusu binadamu yeyote.
Ccm Lisu wanamchukulia kama chizi tu na hawapo tayari kufanyakazi na chizi, kamanadhani ccm haihusiki na uchaguzi wa Chadema mnajidanganya wenyewe, huyo Mbowe utakuta hata usalama wa Taifa ndio wameindorse agombee, wengi hamjui hii nchi inaendeshwaje.
Achana na siasa Kama zinakuumiza kichwa,mashamba yapo kibao,kalime 😝Kwani kwa kufanya hivyo atakuwa anamkomesha nani kwa mfano ?!
Sana sana ni yeye mwenyewe heshima yake kushuka kama Li-Pumbaa
Tatizo mnawapa watu umuhimu ambao hawanaIko hivi kama Lissu ata sense uchaguzi utakumbwa na udananyifu ni bora ajitoe na aondoke CHADEMA amuachie mwenye chama hicho tuone kama kitapata tena ushawishi kwa wananchi
Achana na siasa Kama zinakuumiza kichwa,mashamba yapo kibao,kalime 😝
Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa.
Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo.
Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne nyuma ya Tundu Lissu na Odero Odero,
Je, kama Taifa tunatarajia nini kutoka Upinzani kuelekea 2025?
Usiondoke hapa Jf kwa habari zaidi
=======================================
Siku ya leo Disemba 12, 2024 Freeman Mbowe ametangaza rasmi kugombea kwa mara nyingine nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Mbowe amsema kuwa kutokana na Uchaguzi mkuu ambao unakuja si vyema kubadilisha "makamanda" na kwamba bado yupo sana kuongoza chama hicho na mara baada ya mkutano anaenda kuchaukua fomu kwenye makao makuu ya chama hicho, Mikocheni.
"Kwa kuzingatia yote haya na mengine mengi ambayo sitaki kuwachosha. Nilisema mara nyingi kuwa nilitamani kuondoka lakini siwezi kuondoka katikati ya minyukano iliyopo. Kwa hiyo CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea"
View attachment 3181677
View: https://www.youtube.com/live/8WGa7Xv3hKo?si=JjooipgRmN035_2F
Umesahau alivyosema Lissu kuwa kwenye chaguzi za Chadema kuna pesa nyingi ambayo haifahamiki inatoka wapi.....wajumbe wa kamati Kuu kwa Hali ya uchumi ilivyo mtaani hao watanunuliwa wote na Abdul!Cha msingi wajumbe wajipange na kumpigia kura anayefaa ,binafsi sioni shida hapa ,ni haki yake kwa mjibu wa katiba sass shida iko wapi
Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa.
Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo.
Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne nyuma ya Tundu Lissu na Odero Odero,
Je, kama Taifa tunatarajia nini kutoka Upinzani kuelekea 2025?
Usiondoke hapa Jf kwa habari zaidi
=======================================
Siku ya leo Disemba 12, 2024 Freeman Mbowe ametangaza rasmi kugombea kwa mara nyingine nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Mbowe amsema kuwa kutokana na Uchaguzi mkuu ambao unakuja si vyema kubadilisha "makamanda" na kwamba bado yupo sana kuongoza chama hicho na mara baada ya mkutano anaenda kuchaukua fomu kwenye makao makuu ya chama hicho, Mikocheni.
"Kwa kuzingatia yote haya na mengine mengi ambayo sitaki kuwachosha. Nilisema mara nyingi kuwa nilitamani kuondoka lakini siwezi kuondoka katikati ya minyukano iliyopo. Kwa hiyo CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea"
View attachment 3181677
View: https://www.youtube.com/live/8WGa7Xv3hKo?si=JjooipgRmN035_2F
Na kama wataweka mfumo wa uwazi ili kura zipigwe katika mazingira ya kuridhisha wote, kutakuwa na tatizo hapo yoyote akishinda?Iko hivi kama Lissu ata sense uchaguzi utakumbwa na udananyifu ni bora ajitoe na aondoke CHADEMA amuachie mwenye chama hicho tuone kama kitapata tena ushawishi kwa wananchi
Wewe nenda zako 😝,hakuna anaejaliKwa heri Chadema.Kweli Chama hicho ni Saccos ya watu.
Wewe ni muongo sana sijawahi kuona, Lisu hakuwa na Chama, harakati zake alianzia Nccr Mageuzi anapanda majukwaani kumbe hata kadi hana ndio akastuka akachukuwa kadi ya Nccr Mageuzi.Ninatafuta thread kuhusu Chacha Wangwe alivyowajibu Chadema kuwa atamwaga mboga. Kule Dodoma.Ile thread ina unabii mwingi kuhusu yanayotokea leo.Ninakumbuka kipindi kile Lissu alikuwa pro Mbowe na alimponda sana Chacha wangwe.
Njoo ccm sasaSiasa Ndiyo yenye kuamua hatima ya maisha ya watu kila siku na vizazi vijavyo hivyo ni muhimu kushiriki.
Wajinga tu ndio huwa wana ignore.
Wenye akili kubwa wakinyamaza wajinga na wezi watafanya watakavyo hasara itakuwa kwa wananchi na vizazi vijavyo.
Ataenda kutambulishwa na Mh. AbdulyUungane na mama anakujua 😝,njoo tulime huku