Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wale wote waliokuwa wanawatukana Walimu na Polisi kuwa wanaibeba CCM ni Wakati wenu huu wa kufungua nyuzi za kutubu.Walimu walikuwa wanaona mbali.Mara 100000 CCM kuliko kuikabidhi nchi kwa familia ya akina Mtei.
 
Usinilishe maneno mkuu, mimi Lissu wakwangu Mbowe pia wa kwangu, ila msimamo wangu kwa sasa ,wajumbe Mleteni lissu, Mbowe kama chama hatakiwi kuachwa bado anahitajika ila kwa sasa wajumbe Mleten lissu period Mungu bariki mikono ya wajumbe, na ni matumaini yangu Mbowe pia atampigia lissu kura
Yani leo unawatuhumu wajumbe wanapewa rushwa na Abdul, kesho wajumbe haohao uwaombe kukupigia kura? Mwambieni Lisu cha kwanza ajifunze kutokuwa mropokaji, na kuna vitu vya kweli pia hutakiwi kuongea public, hii ni kanuni ya maisha inamuhusu binadamu yeyote.

Ccm Lisu wanamchukulia kama chizi tu na hawapo tayari kufanyakazi na chizi, kama mnadhani ccm haihusiki na uchaguzi wa Chadema mnajidanganya wenyewe, huyo Mbowe utakuta hata usalama wa Taifa ndio wameindorse agombee, wengi hamjui hii nchi inaendeshwaje.
 
Yani leo unawatuhumu wajumbe wanapewa rushwa na Abful, keshobwajumbe haohao uwaombe kukupigia kura? Mwambieni Lisu cha kwa ajifunze kutokuwa mropokaji, na kuna vitu vya kweli pia hutakiwi kuongea public, hii ni kanuni ya maisha inamuhusu binadamu yeyote.

Ccm Lisu wanamchukulia kama chizi tu na hawapo tayari kufanyakazi na chizi, kamanadhani ccm haihusiki na uchaguzi wa Chadema mnajidanganya wenyewe, huyo Mbowe utakuta hata usalama wa Taifa ndio wameindorse agombee, wengi hamjui hii nchi inaendeshwaje.
Waambie hao vilaza
 
Achana na siasa Kama zinakuumiza kichwa,mashamba yapo kibao,kalime 😝

Siasa Ndiyo yenye kuamua hatima ya maisha ya watu kila siku na vizazi vijavyo hivyo ni muhimu kushiriki.
Wajinga tu ndio huwa wana ignore.

Wenye akili kubwa wakinyamaza wajinga na wezi watafanya watakavyo hasara itakuwa kwa wananchi na vizazi vijavyo.
 
Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa.

Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo.

Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne nyuma ya Tundu Lissu na Odero Odero,

Je, kama Taifa tunatarajia nini kutoka Upinzani kuelekea 2025?

Usiondoke hapa Jf kwa habari zaidi

=======================================

Siku ya leo Disemba 12, 2024 Freeman Mbowe ametangaza rasmi kugombea kwa mara nyingine nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Mbowe amsema kuwa kutokana na Uchaguzi mkuu ambao unakuja si vyema kubadilisha "makamanda" na kwamba bado yupo sana kuongoza chama hicho na mara baada ya mkutano anaenda kuchaukua fomu kwenye makao makuu ya chama hicho, Mikocheni.

"Kwa kuzingatia yote haya na mengine mengi ambayo sitaki kuwachosha. Nilisema mara nyingi kuwa nilitamani kuondoka lakini siwezi kuondoka katikati ya minyukano iliyopo. Kwa hiyo CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea"

View attachment 3181677

View: https://www.youtube.com/live/8WGa7Xv3hKo?si=JjooipgRmN035_2F

Sasa mbona kijasho kinakutoka? Asali uliramba mara moja lakini uchungu wake leo jasho linakutoka, ukitamka unagombea maana yake Chadema sasa haitakuwa tena Imara litaendelea kuwa tawi la ccm na Chadema itakosa mvuto kwa sababu tuhuma ni nyingi na zinaonekana waziwazi.

Maana yake ni kwamba watanzania waliokuwa na matumaini na Chadema kuwa chama upinzani wajipange upya kutafuta jukwaa la kuweza kuwaletea mageuzi ya kuondokana na CCM.

Ulitakiwa utamke hugombei tena ili kukinusuru chadema ambacho kishatumbukia mama kwa abduli, Tanzania upinzani ndio ushaenda na maji sasa ni maslahi yenu tu kwenda mbele. Tundu Lissu ndio njia pekee ilikuwa kuinusuru chadema na ccmu hawapati usingizi ata kidogo Tundulu kama ndo angekuwa mwenyekiti. Huo uchaguzi vitatumika ata vyombo mbali mbali kuhakikisha mbowe anashinda.
 
Cha msingi wajumbe wajipange na kumpigia kura anayefaa ,binafsi sioni shida hapa ,ni haki yake kwa mjibu wa katiba sass shida iko wapi
Umesahau alivyosema Lissu kuwa kwenye chaguzi za Chadema kuna pesa nyingi ambayo haifahamiki inatoka wapi.....wajumbe wa kamati Kuu kwa Hali ya uchumi ilivyo mtaani hao watanunuliwa wote na Abdul!
 
Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa.

Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo.

Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne nyuma ya Tundu Lissu na Odero Odero,

Je, kama Taifa tunatarajia nini kutoka Upinzani kuelekea 2025?

Usiondoke hapa Jf kwa habari zaidi

=======================================

Siku ya leo Disemba 12, 2024 Freeman Mbowe ametangaza rasmi kugombea kwa mara nyingine nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Mbowe amsema kuwa kutokana na Uchaguzi mkuu ambao unakuja si vyema kubadilisha "makamanda" na kwamba bado yupo sana kuongoza chama hicho na mara baada ya mkutano anaenda kuchaukua fomu kwenye makao makuu ya chama hicho, Mikocheni.

"Kwa kuzingatia yote haya na mengine mengi ambayo sitaki kuwachosha. Nilisema mara nyingi kuwa nilitamani kuondoka lakini siwezi kuondoka katikati ya minyukano iliyopo. Kwa hiyo CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea"

View attachment 3181677

View: https://www.youtube.com/live/8WGa7Xv3hKo?si=JjooipgRmN035_2F

Bora kushabikia ccm ili maisha yaende kuliko hawa wasanii,Ccm ni sawa na zimwi likujualo
 
Ninatafuta thread kuhusu Chacha Wangwe alivyowajibu Chadema kuwa atamwaga mboga. Kule Dodoma.Ile thread ina unabii mwingi kuhusu yanayotokea leo.Ninakumbuka kipindi kile Lissu alikuwa pro Mbowe na alimponda sana Chacha wangwe.
Wewe ni muongo sana sijawahi kuona, Lisu hakuwa na Chama, harakati zake alianzia Nccr Mageuzi anapanda majukwaani kumbe hata kadi hana ndio akastuka akachukuwa kadi ya Nccr Mageuzi.

Lisu amejiunga na Chadema kuongeza nguvu miaka 10 na kitu tu iliyopita.

Siku nyingine usirudie kudanganya watu hadharani kwa ushabiki na chuki zako kwa Mbowe, au uliliwa na mwenyekiti hukupewa viti maalum?
 
Back
Top Bottom