Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu anashinda mchana, mnaogopaWajumbe wananunuliwa kwa pesa au kwa ahadi za kupewa nafasi za kugombea ubunge mwakani au nafasi za viti/u
maalum za ubunge.Hivyo vitu Lissu hawezi kuvifanya kwa sababu sio mnafiki.
Siasa za kiafrika huwezi kuzimudu kwa muda mrefu kama sio mnafiki.Either utaondolewa mapema au utachafuliwa kwa propaganda ambazo jamii ya kinafiki ya kiafrika itazichukua na kukupondea nazo kichwani.Mbowe ni mzuri kwenye hizo negotiations za kimaslahi ya pande zote mbili.
Kwahiyo tegemea kuwa Mbowe kabla ya kuamua kugombea ameshajua kura zake zitatoka wapi.
Mtu msafi kama Lissu ni vigumu kupigiwa kura na watu wanaotaka wafaidike na hizo kura zao kupitia yeye.Mbowe kwakuwa tu maslahi yake yanahakikishwa basi yeye pia
hana nongwa kuwapa maslahi yao watu waliompa maslahi yake.
Tegemea wale covid 19 kurudi/kusamehewa baada ya ushindi wa Mbowe.Ni maslahi maslahi maslahi....
Ulitaka waseme uongo.Aliyeanza kuropoka humlaumu unawalaumu wanaotukanwa?Lisu ni muongo,mzushi na it is time sasa ajibiwe ili wanachadema na watanzania kwa ujumla wajue ukweli.Ukifikiria hoja zinazojengwa na FAM kwenye press pamoja na Wenje ktk interview yake jana nyingi si za kukijenga Chama Chao bali zinalenga kumwangusha TAL ktk uwanja wa siasa. Wemeruhusu DIVIDE & RULE tactic kukidhoofisha chama Chao.
Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa.
Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo.
Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne nyuma ya Tundu Lissu na Odero Odero,
Je, kama Taifa tunatarajia nini kutoka Upinzani kuelekea 2025?
Usiondoke hapa Jf kwa habari zaidi
=======================================
Siku ya leo Disemba 12, 2024 Freeman Mbowe ametangaza rasmi kugombea kwa mara nyingine nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Mbowe amsema kuwa kutokana na Uchaguzi mkuu ambao unakuja si vyema kubadilisha "makamanda" na kwamba bado yupo sana kuongoza chama hicho na mara baada ya mkutano anaenda kuchaukua fomu kwenye makao makuu ya chama hicho, Mikocheni.
"Kwa kuzingatia yote haya na mengine mengi ambayo sitaki kuwachosha. Nilisema mara nyingi kuwa nilitamani kuondoka lakini siwezi kuondoka katikati ya minyukano iliyopo. Kwa hiyo CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea"
View: https://www.youtube.com/live/8WGa7Xv3hKo?si=JjooipgRmN035_2F
Mbowe kaiweka Chadema njia panda .Kuanzia Leo nimeshajua chadema hawana uwezo hata WA kuongoza nchi, NI watu wa kuwaepuka Sana, walafi wakiingia madarakani hawatoki
Labda hapa twende sawa, Mbowe ndio alimtuma Lisu kwenda kumtetea Chacha Wangwe ambaye alikuwa ni diwani wa Tarime na alikuwa amebambikwa kesi nyingi lakini Mbowe kipindi hicho alidhani Lisu ni Chadema kumbe Lisu ni mwanachama wa Nccr Mageuzi.Wakati Chacha Wangwe anataka kugombea uenyekiti.Lissu hakuwa Chadema? ILIKUWA MWAKA 2008.Ninakumbuka Lissu alimlalamikia sana Chacha Wangwe hadi kusema kamsaidia case nyingi mno.I wish niupate ule uzi niuperuzi.Lissu alikuwa upande wa Mbowe .
Hakuna namna upinzani wa Tanzania unaweza kuwa huru kutoka makucha ya mfumoNimevunjika moyo sana
Hiyo "mnaogopa" imenifanya kujua kuwa napoteza mudaLissu anashinda mchana, mnaogopa
Asante sana.Toa uwongo wako hapa Lissu kajiunga Chadema 2004 ni zaidi ya miaka 20 iliyopita.
Hivyo kwenye lile sakata 2008 Lissu alikuwa mwanasheria wa CHADEMA. Believe me ninakumbuka kabisa Lissu kusema kamtetea sana Wangwe.Na anashangaa Wangwe kutaka kumwaga mbonga.Labda hapa twende sawa, Mbowe ndio alimtuma Lisu kwenda kumtegea Chacha Wangwe ambaye alikuwa ni diwani wa Tarime na alikuwa amebambikwa kesi nyingi lakini Mbowe kipindi hicho alidhani Lisu ni Chadema kumbe Lisu ni mwanachama wa Nccr Mageuzi.
Kwahiyo hizo kesi za Chacha Wangwe ndio zilimfanya Mbowe kuongea na Lisu amtetee Chavha Wangwe pamoja na wananchi, kwahiyo link ya Chacha Wangwe kuwa Karibu na Lisu link ni Mbowe.
Nimeona niweke record sawa.
Jinyonge sasaMjinga wewe
Wewe dogo Kawe mpinzani wewe sasa tuone. Unataka kutuaminisha ujinga watu wazima na ndevu zetu.Ujumbe umekufikia endelea kushobokea watwana wa mkwere huku ukiwaita 'wapinzani'
Upinzani wa hii nchi umesalitiwa toka kitambo ila ni vile tu raia hawakuona hili.Mtu asinambie kitu kinachoitwa siasa kuanzia kujiandikisha ,kupiga kura na mengineyo na hili jukwaa la siasa sitolitembelea tena .
Ni mwanasheria .Hawezi kosa kila kitu.TAL atakosa Kila kitu!
May be ataanzisha kanisa!
Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa.
Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo.
Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne nyuma ya Tundu Lissu na Odero Odero,
Je, kama Taifa tunatarajia nini kutoka Upinzani kuelekea 2025?
Usiondoke hapa Jf kwa habari zaidi
=======================================
Siku ya leo Disemba 12, 2024 Freeman Mbowe ametangaza rasmi kugombea kwa mara nyingine nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Mbowe amsema kuwa kutokana na Uchaguzi mkuu ambao unakuja si vyema kubadilisha "makamanda" na kwamba bado yupo sana kuongoza chama hicho na mara baada ya mkutano anaenda kuchaukua fomu kwenye makao makuu ya chama hicho, Mikocheni.
"Kwa kuzingatia yote haya na mengine mengi ambayo sitaki kuwachosha. Nilisema mara nyingi kuwa nilitamani kuondoka lakini siwezi kuondoka katikati ya minyukano iliyopo. Kwa hiyo CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea"
View attachment 3181677
View: https://www.youtube.com/live/8WGa7Xv3hKo?si=JjooipgRmN035_2F