Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe hamkutuma lissu kwenda kumtrtea chacha wangwe. Lissu alianza kupambana na kesi zamigodini 2001 kabla hata ya hiyo ya wangwe 2003. Labda useme hiyo 2001 pia alitumwa na mbowe.Ukweli ni upi?
Hahaha mnaogopa Lisu atakosa vyote?Vyoyote vile Wenje achunguzwe na chama kama tuhuma ni kweli afukuzwe uanachama
Ukifikiri hivi unavyofikiri..hata Lisu mwenyewe akihesabu kura zake bado utasema matokeo si halali!Si mbaya, kikubwa kusiwe na uwezekano wa kuibiana kura. Kila mtu aone(au mwakilishi wake aone).
Yeye hawezi kuachia iko chamaA good dancer must know the time to leave the stage.
Mkuu historia ya lissu ipo wazi hakuna kinyanganyiro lissu amewahi pita kirahisi ,labda ile ya makam , ila fuatilia kuanzia ubunge ,njoo urais wa TLS ,Leo Mbowe kamtafutia kura za bure lissu , wajumbe watafanya kufuru kwa lissu nakwambiaHiyo "mnaogopa" imenifanya kujua kuwa napoteza muda
Lissu mwenyekiti chama ajae, binafsi nimefurahi Mbowe kutangaza kugombea ili sanduku la kura liamue ,ccm hawakawii sema lissu alibebwa kwa Mbowe kujitoa, alafu sio sawa Mbowe pia anawakereketwa wake ,sasa angesema agombei wale wanaomuunga mkono angewaacha katika hali gani? Isingekuwa sawa .Hahaha mnaogopa Lisu atakosa vyote?
Dogo mwenyewe...Wewe dogo Kawe mpinzani wewe sasa tuone. Unataka kutuaminisha ujinga watu wazima na ndevu zetu.
Ila sasa miaka 21 inatosha.Hatukatai kuwa kafanya kazi kubwa.Ila kipindi hiki angeachia na wengine.Hili nalifahamu, ni Mbowe ndiye aliyemuomba Lisu amtetee Chacha Wangwe pamoja na wananchi, na ni Mbowe ndiye aliyemshawishi Lisu kujounga Chadema.
Unaposikia Mbowe anaitwa mwamba basi ni mwamba kweli, orodha kwa uchache Mwamba aliwashawishi hawa kujiunga Chadema, Zitto Kabwe, John Mnyika, Halima Mdee, Joseph Mbilinyi Sugu, Joseph Haule Profesa Jay, Godbless Lema kwa uchache hao watu maarufu mwamba ndio kawaingiza Chadema, hii ni talent and charismatic.
Haya mkayaongee kwenye sanduku la kura.Ila sasa miaka 21 inatosha.Hatukatai kuwa kafanya kazi kubwa.Ila kipindi hiki angeachia na wengine.
Wanataka demokrasia ya kupishwa.Yaani Mbowe amuachie Uenyekiti Lisu hawataki wapigiwe kura.Kwani wewe umeelewaje?
Msikate tu jina lake kwenye CC.Maana iam sure mkutano mkuu Lissu atapata kura nyingi tu.Kilimanjaro pekee ndo watampa mbowe .Haya mkayaongee kwenye sanduku la kura.
Unataka aachiwe kwani mbio za kupokezana vijiti.Apigiwe kura akishinda ashinde kwa kura.Hakuna cha dezo.Ila sasa miaka 21 inatosha.Hatukatai kuwa kafanya kazi kubwa.Ila kipindi hiki angeachia na wengine.
Kumbe nia yako ni kubishana, mimi ni wrong person, siko tayari kwa hilo, watu wote wenye akili wanajuwa Lisu ameletwa na Mbowe, sasa chuki zako kwa Mbowe zinakutia upofu na kujitoa akili.Mbowe hamkutuma lissu kwenda kumtrtea chacha wangwe. Lissu alianza kupambana na kesi zamigodini 2001 kabla hata ya hiyo ya wangwe 2003. Labda useme hiyo 2001 pia alitumwa na mbowe.
Wangwe ndio Alifanya aingie chadema