Wakati uleee kabla Slaa hajasaliti kiapo chake cha u~ padre ambacho kinamtafuna hadi keshokutwaDr Slaa nilikuwa naye Kamati ya Mapokezi ya Papa Yohanne Paul Mimi nilikuwa kituo cha Luhuwiko Songea
Ni Mtu makini Sana πππ
Kibaraka wa Waarabu hawezi kalia IkuluNdiyo utajua kuwa hujui,hata mwenyewe hapo alipo anakucheka kwa dharau.
Unajua ubelgiji anaenda sababu ya matibabu? Ule mwili bado hauko sawa ? Kila mwez lazima akafanye check up ulikuwa unajua?Muda mwingi yuko ubelgiji sio.Tanzania hata sasa hivi hayuko nchini yuko ubelgiji
Kweli tupu. Kuna pia wale ambao kwa namna moja au nyingine wanaamini kuwa hawajatendewa haki katika uongozi wake. Hii ni pamoja na Lissu mwenyewe ambae amesema wazi kuwa Mbowe alitaka kumtilia kauzibe kupitia Wenje. Kuna wale walioshindwa au mtu wao alishindwa ( k.m. Msigwa)chaguzi tofauti.
Kwa hiyo chadema inahitaji mgonjwa anayeshinda ubelgiji hospitali kuwa mwenyekiti ambaye muda mwingi anakuwa hospitali ubelgiji?Unajua ubelgiji anaenda sababu ya matibabu? Ule mwili bado hauko sawa ? Kila mwez lazima akafanye check up ulikuwa unajua?
Jaribu nawewe uwe kibaraka,uwaambie wabaokufanya kibaraka wakupige hata risasi mbiliNikiwaambia Lisu ni kibaraka Huwa qanabisha
Haahaa Mbowe kaanza kulialia eti mapinduzi, haahaaMwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA @chadematzofficial Freeman Mbowe amesema kuna makundi yanayoratibu kufanyika mapinduzi ndani ya chama hicho na makundi hayo ndiyo yanayomsukuma Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bara, Tundu Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti.
βKuna kundi linaloitwa diaspora (watanzania waishio ughaibuni) ni kundi dogo tu wala sio kusema ni diaspora wote wa Tanzania hili kundi dogo linalojaribu kupanga mapinduzi ndani ya CHADEMA wengine hata hatuwajui tunawaona tu kwenye majina ya mitandaoni wanajiita Tanzania Diaspora ni kundi ndani ya Diasporaβ
Mbowe ameeleza kuwa zaidi ya kundi hilo kuna kikundi kingine kinachoitwa Sauti ya Watanzania ambacho kinachoongozwa na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Silaa
βKuna makundi ya watu kama Dkt. Silaa na kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania, Dkt. Silaa alikimbia CHADEMA mwenyewe akaenda Chama Cha Mapinduzi (CCM) akafungiwa Serena pale(Serena Hotel) baadae akahamishiwa Canada akapewa zawadi ya ubalozi.β
Mbowe ameongeza kuwa amekuwa akishangazwa na wanaomuunga mkono Lissu kuwa sio watu ambao ni wanachama kweli kweli hata hivyo anashindwa kuelewa kwa nini Dkt. Silaa hawekezi nguvu kwenye chama chake bali anawekeza muda na nguvu CHADEMA.
βKazi aliyoifanya muda wote akiwa balozi(Dkt.Silaa) chini ya utawala wa Magufuli(Hayati Dkt. John Pombe Magufuli) ni kujaribu kuichonganisha CHADEMA na kutoa taarifa na mpaka kuandika kitabu cha uongo eti leo Dkt.Silaa ndiye anafanya kampeni ya Lissu kuchukua uongozi wa chama alisahau nini Dkt Silaa ambacho leo anakitakaβ
Hata hivyo Mbowe ameongeza kuwa wengine wanaomuunga mkono Lissu ni pamoja na aliyekuwa Mbunge wa Iringa na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa ni kada wa CCM.
Source: Jambo TV
Ugonjwa alijitakia au aliyapata akiwa anakipgania chama hiko hiko?Kwa hiyo chadema inahitaji mgonjwa anayeshinda ubelgiji hospitali kuwa mwenyekiti ambaye muda mwingi anakuwa hospitali ubelgiji?
Sihitaji kuishi maisha ya kutumikia watu wengine na kuhatarisha mustakabli wangu na kizazi changu.Jaribu nawewe uwe kibaraka,uwaambie wabaokufanya kibaraka wakupige hata risasi mbili
Hao wanaomsaidia Lissu ndio wapo CCMAibu sana.
DioKwahiyo anaomba msaada CCM wamsaidie kukikomboa chama?
Wanachadema wataamua, kama waliweza kumpa umakamu akiwa kitandani, sembuse now?Kwa hiyo chadema inahitaji mgonjwa anayeshinda ubelgiji hospitali kuwa mwenyekiti ambaye muda mwingi anakuwa hospitali ubelgiji?
Mara mia lissu kuliko nkurunzinza mbowe...Sihitaji kuishi maisha ya kutumikia watu wengine na kuhatarisha mustakabli wangu na kizazi changu.
Huyo kibaraka anawatumikia hao diaspora Kwa sababu familia yake Iko huko Ubeberuni.
Sihitaji kuishi maisha ya kutumikia watu wengine na kuhatarisha mustakabli wangu na kizazi changu.
Huyo kibaraka anawatumikia hao diaspora Kwa sababu familia yake Iko huko Ubeberuni.
Kashayatimba yule - kasome historia ya yule mwanapunda aliyembeba Yesu....ilikuwaje alivyoamua kurudi mwenyewe kesho yake tena kwa madoido...Wanachadema wataamua, kama waliweza kumpa umakamu akiwa kitandani, sembuse now?
Ukabila umeshika kasi Chadomo ππKumbe wanaume wa Sisiemu mna vizazi?
Haya hongereni!
Naona Kanisa lenu linamhangaikia kupachika kibaraka wake ππππAnawaogopa ππ