Pre GE2025 Freeman Mbowe: Dkt. Slaa na wanaojiita Tanzania Diaspora wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA

Pre GE2025 Freeman Mbowe: Dkt. Slaa na wanaojiita Tanzania Diaspora wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
TUNDU LISU anajaribu kukitoa chama kwenye ufamilia , ukanda na uchaga kuwa chama cha wote, na kinachofuata misingi ya demokrasia kama kinavyojiita lakini mbowe amepania kuendeleza ufamilia, ukanda na uchaga kwenye chama
True democracy vs political entrepreneur
 
Napata Mashaka sana na Lissu motive behind na sagaz zake.

Kuna genge la nje(wengi si wapiga kura) ambalo halimtaki mbowe ndiyo linafinance team lissu kuleta mtifuano...Lissu angefanya kampeni za kistaarabu ningemuunga mkono ila naona kabisa hana nia njema.
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA @chadematzofficial Freeman Mbowe amesema kuna makundi yanayoratibu kufanyika mapinduzi ndani ya chama hicho na makundi hayo ndiyo yanayomsukuma Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bara, Tundu Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti.


“Kuna kundi linaloitwa diaspora (watanzania waishio ughaibuni) ni kundi dogo tu wala sio kusema ni diaspora wote wa Tanzania hili kundi dogo linalojaribu kupanga mapinduzi ndani ya CHADEMA wengine hata hatuwajui tunawaona tu kwenye majina ya mitandaoni wanajiita Tanzania Diaspora ni kundi ndani ya Diaspora”

Mbowe ameeleza kuwa zaidi ya kundi hilo kuna kikundi kingine kinachoitwa Sauti ya Watanzania ambacho kinachoongozwa na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Silaa

“Kuna makundi ya watu kama Dkt. Silaa na kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania, Dkt. Silaa alikimbia CHADEMA mwenyewe akaenda Chama Cha Mapinduzi (CCM) akafungiwa Serena pale(Serena Hotel) baadae akahamishiwa Canada akapewa zawadi ya ubalozi.”

Mbowe ameongeza kuwa amekuwa akishangazwa na wanaomuunga mkono Lissu kuwa sio watu ambao ni wanachama kweli kweli hata hivyo anashindwa kuelewa kwa nini Dkt. Silaa hawekezi nguvu kwenye chama chake bali anawekeza muda na nguvu CHADEMA.

“Kazi aliyoifanya muda wote akiwa balozi(Dkt.Silaa) chini ya utawala wa Magufuli(Hayati Dkt. John Pombe Magufuli) ni kujaribu kuichonganisha CHADEMA na kutoa taarifa na mpaka kuandika kitabu cha uongo eti leo Dkt.Silaa ndiye anafanya kampeni ya Lissu kuchukua uongozi wa chama alisahau nini Dkt Silaa ambacho leo anakitaka”

Hata hivyo Mbowe ameongeza kuwa wengine wanaomuunga mkono Lissu ni pamoja na aliyekuwa Mbunge wa Iringa na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa ni kada wa CCM.

Source: Jambo TV
Mwamba usimchafue mtu wa watu TAL tuna mpenda na tuna muunga mkoni miguu na vichwa pia
 
Napata Mashaka sana na Lissu motive behind na sagaz zake.

Kuna genge la nje(wengi si wapiga kura) ambalo halimtaki mbowe ndiyo linafinance team lissu kuleta mtifuano...Lissu angefanya kampeni za kistaarabu ningemuunga mkono ila naona kabisa hana nia njema.
Tuambie kivipi Lissu hafanyi kampeni kistaarabu?
 
Naona Kanisa lenu linamhangaikia kupachika kibaraka wake 😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DEhtw-SNjKQ/?igsh=MTZubHhyZnJhdDEzag==

Mbowe hata hajui kuwa ile nafasi aliyopewa na Nyerere enzi zile alipoingia JK ndio akawapa Ruge na MwanaFA

Kizazi chake alichokitengeneza kiliishia Kwa akina Sugu na kidogo akina Juma Nature

Anajiona bado wa Mjini kumbe ameisha achwa nyuma Kitambo Sana 😂

Mwenzake Tundu Lisu anaendeleza Ulugaluga ndio sababu anapokelewa hadi Vijijini 😂😂😂🔥
 
Back
Top Bottom