Sijawahi kumuona Mbowe akiwa under pressure, kumbe akiwa depressed anakuwa boya kiasi hichi, imagine huyu angaukwaa uraisi wa Tanzania angepiga marufuku hata neno UCHAGUZI na KATIBA. hata Mobutu Sese seko huko aliko angaionea huruma Tanzania.Haahaa Mbowe kaanza kulialia eti mapinduzi, haahaa
Mwamba usimchafue mtu wa watu TAL tuna mpenda na tuna muunga mkoni miguu na vichwa piaMwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA @chadematzofficial Freeman Mbowe amesema kuna makundi yanayoratibu kufanyika mapinduzi ndani ya chama hicho na makundi hayo ndiyo yanayomsukuma Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bara, Tundu Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti.
βKuna kundi linaloitwa diaspora (watanzania waishio ughaibuni) ni kundi dogo tu wala sio kusema ni diaspora wote wa Tanzania hili kundi dogo linalojaribu kupanga mapinduzi ndani ya CHADEMA wengine hata hatuwajui tunawaona tu kwenye majina ya mitandaoni wanajiita Tanzania Diaspora ni kundi ndani ya Diasporaβ
Mbowe ameeleza kuwa zaidi ya kundi hilo kuna kikundi kingine kinachoitwa Sauti ya Watanzania ambacho kinachoongozwa na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Silaa
βKuna makundi ya watu kama Dkt. Silaa na kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania, Dkt. Silaa alikimbia CHADEMA mwenyewe akaenda Chama Cha Mapinduzi (CCM) akafungiwa Serena pale(Serena Hotel) baadae akahamishiwa Canada akapewa zawadi ya ubalozi.β
Mbowe ameongeza kuwa amekuwa akishangazwa na wanaomuunga mkono Lissu kuwa sio watu ambao ni wanachama kweli kweli hata hivyo anashindwa kuelewa kwa nini Dkt. Silaa hawekezi nguvu kwenye chama chake bali anawekeza muda na nguvu CHADEMA.
βKazi aliyoifanya muda wote akiwa balozi(Dkt.Silaa) chini ya utawala wa Magufuli(Hayati Dkt. John Pombe Magufuli) ni kujaribu kuichonganisha CHADEMA na kutoa taarifa na mpaka kuandika kitabu cha uongo eti leo Dkt.Silaa ndiye anafanya kampeni ya Lissu kuchukua uongozi wa chama alisahau nini Dkt Silaa ambacho leo anakitakaβ
Hata hivyo Mbowe ameongeza kuwa wengine wanaomuunga mkono Lissu ni pamoja na aliyekuwa Mbunge wa Iringa na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa ni kada wa CCM.
Source: Jambo TV
Haahaa mbowe analialia mno mpaka huruma, kweli huyu anaweza pambana na ccm kuitoa madarakani?Mapinduzi ya kumtoa Sultani hayana ubaya wowote
Huyu ni Mangi CHADEMA alikuwa ameifanya Duka lake.Haahaa mbowe analialia mno mpaka huruma, kweli huyu anaweza pambana na ccm kuitoa madarakani?
Hahaaaaa,na wewe timu lissuMapinduzi ya kumtoa Sultani hayana ubaya wowote
Ndiyo hivyo yupo tena mnataka mumuongezee mitano tena.Kibaraka wa Waarabu hawezi kalia Ikulu
Hivi kwa nini hakuna uzi wa hili?Ukabila umeshika kasi Chadomo ππ
View: https://www.instagram.com/p/DEhtw-SNjKQ/?igsh=MTZubHhyZnJhdDEzag==
Tuambie kivipi Lissu hafanyi kampeni kistaarabu?Napata Mashaka sana na Lissu motive behind na sagaz zake.
Kuna genge la nje(wengi si wapiga kura) ambalo halimtaki mbowe ndiyo linafinance team lissu kuleta mtifuano...Lissu angefanya kampeni za kistaarabu ningemuunga mkono ila naona kabisa hana nia njema.
Mbowe hela Abdul zimemfanya kuwa mpumbavu kabisaHaahaa Mbowe kaanza kulialia eti mapinduzi, haahaa
Mtifuano rasmi lini?Nasubiri January surprise.
Amandla...
Mnawaita mabeberu ndo hao hao nchi yako inawaomba misaada mara kwa mara!,sasa tuwaeleweje!?,,Bora kibaraka wa Mtanzania kuliko vibaraka wa Mabeberu
Mbowe hata hajui kuwa ile nafasi aliyopewa na Nyerere enzi zile alipoingia JK ndio akawapa Ruge na MwanaFANaona Kanisa lenu linamhangaikia kupachika kibaraka wake ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DEhtw-SNjKQ/?igsh=MTZubHhyZnJhdDEzag==
Bila shaka Lisu hakuweka wazi jina la kiongozi wa kiroho, huyu kitenge sijui alitoa wapi hilo jina!!, anyway hakuna ubaya kwa kiongozi wa kiroho kupatanisha watu maana imeandikwa heri wapatanishiBila kusahau hilo Kanisa lenu ππ
View: https://www.instagram.com/p/DEhtw-SNjKQ/?igsh=MTZubHhyZnJhdDEzag==