Freeman Mbowe kung'atuka uongozi wa CHADEMA mwaka 2023

Kwa zile kura za kwenye mabegi meusi, tiki kwa wagombea wa CCM ziliwekwa kwenye ofisi za SM, mabegi yakafichwa kwenye vituo vya polisi.
Amekiri aliweka wagombea dhaifu

 
Intact wakati ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa? Nafikiri ubongo wako haufanyikazi vizuri nenda kwa daktari ukatibiwe!
 
Hongera kwa Mbowe, japo sio mwanachama wa CDM,kauli hii itawapa moyo wachache waliokuwa wakimnanga.Hongera Mwamba.
 
Ulichojibu hakiendani na swali.

Kwa mujibu wa mshabiki wajinga wa chadema ni kwamba Mbowe akitoka kwenye hiyo nafasi wengine watauza chama na kukiua.

Mbowe katangaza kung'atuka 2023. Swali, je mwisho wa chadema ni 2023?
 
Kwa zile kura za kwenye mabegi meusi, tiki kwa wagombea wa CCM ziliwekwa kwenye ofisi za SM, mabegi yakafichwa kwenye vituo vya polisi.
Mbowe amekiri yeye mwenyewe kwenye uchaguzi mkuu 2020 alisimamisha wagombea dhaifu
 
Mbowe akigombea uenyekiti Chadema hata leo ukasimame nae huwezi kumshinda, his track record speaks for itself, hiki ulichoandika hapa hakiendani na mtu unaemzungumzia, hana sababu ya kulazimisha kupendwa yule, anaaminiwa na wote wanaoipenda Chadema.
Hahahaha...kama nilivyosema awali...Mbowe ni master na kacheza kama Pele na wala sikubishii mkuu
 
Kwahiyo mwisho wa chadema ni 2023?

Maana mwenyekiti wenu ndio anang'atuka na hakuna mwingine kama Mbowe maana wengine watauza chama
Magufuli alinajisi CCM kikawa chama cha majambazi ya kunyang'anya fedha wa watu kwa kutumia bunduki za serikali!
 
Bora kabisa ili hicho chama kishikwe na wasukuma sasa.

Wachaga wamekidumaza hicho chama.

Yule mashinji si alikua msukuma halafu boya tu, wasukuma sio viongozi kwenye harakati
 
Kikubwa asitengeneze nafasi ya Kiongozi mkuu wa chama ili kuendelea kuongoza wale wanachama wenye "kadi hisa za platinum ", wakati wale wa "kadi hisa mchekea" wakibaki kwa mwenyekiti wa chama.

Ni angalizo tu!
 
Kikubwa asitengeneze nafasi ya Kiongozi mkuu wa chama ili kuendelea kuongoza wale wanachama wenye "kadi hisa za platinum ", wakati wale wa "kadi hisa mchekea" wakibaki kwa mwenyekiti wa chama.

Ni angalizo tu!
 
Kwa taarifa hii #kamanda asiyechoka
Atakuwa amefurahi sana

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…