Pre GE2025 Freeman Mbowe kuona ni kuamini, achana na siasa za mkia wa mbuzi, jeuri na kiburi sio mtaji kuelekea uchaguzi 2024/2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wala usihofu. Hakuna mwananchi mpumbavu awezaye kuandamana eti kisa mwenyekiti wa kudumu wa saccos kasema
 
Nimependa bandiko lako limejaa data. Wanaokupinga nao inabidi walete data zao tulinganishe.

Safi sana mwana-UDASA!
 
Tangu 1995 Mbowe anaiongoza CDM hivi hakuna wenye akili wengine ndani ya CDM?

Kama hujui kitu Kaa kimya. Make 1995 Mwenyekiti wa CHADEMA alikuwa Mtei. Mbowe alikuwa mwenyekiti wa BAVICHA mwaka 1995.
 

Teuzi zimeisha. Usimtumie Mbowe Kama ngazi ya kutoka hapo jalalani.
 
Ww unapendekeza nn cha msingi kwenye hii miswada kama mtanzania unayependa haki na uwazi.
 
Watanzania mmezoea unyonge na kuuziwa haki yenu. Kuna mambo mengi makubwa hayaendi vizuri nchi hii. Usiorodheshe vimiradi ili upate uhalali wa kusema Samia anafaa. Hayo yote yangefanyika vizuri zaidi wewe ungekuwa rais! Watanzania acheni uduni wa fikra.
 
Unataka niorodheshe nini? Nioneshe BRT na SGR?
 
Aliye zoea kunyonga vya kuchinja haviwezi. CCM hawawezi kufanya muafaka na Mtu yoyote hiyo ni nature yake. Hata huko Zanzibar kumetulia siyo kwa sababu ya muafaka ila ni kwa sababu ya njaa ya viongozi wa upinzani
 
Aliye zoea kunyonga vya kuchinja haviwezi. CCM hawawezi kufanya muafaka na Mtu yoyote hiyo ni nature yake. Hata huko Zanzibar kumetulia siyo kwa sababu ya muafaka ila ni kwa sababu ya njaa ya viongozi wa upinzani
Mbona mzee unapwaya sana?
 
Unapoandika pia uwe na utafiti wa ndani zaidi sio waliyoandika magazetini.
Namba 1 na 2 bado hauko Sawa.
Mimi mwanangu amerudishwa shule kisa natakiwa kuchangia laki 4! Shule ya kwenda na kurudi!

Hapo 2 kwenye na vituo afya tembelea ndani viko vituo vya afya ni changamoto ya ajabu! Huduma na majengo chakavu hata friji la kuhifadhia dawa hamna.

Ukitizama kiti anachokalia DR.
Utalia.

Shule ya msingi niliyosoma Moshi vijijini ziko nyingi (sitaitaja). Ina Hali mbaya Choo kimeandaliwa pesa ya kumalizia hamna kiko wanasubiria muujiza.
Ni maliwato ya mgawo wanaume na waK. Hamna mlango, plastic, siling, sink na hata kuchimba zile chamber imeshindikana hamna hela waliyoahidiwana Serikali!

Kuna majanga. Waavhe waandamane tu maadam ni ya AMANI tutajua. Ni Haki ya kikatiba pia.
 
Ng'ombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…