Pre GE2025 Freeman Mbowe kuona ni kuamini, achana na siasa za mkia wa mbuzi, jeuri na kiburi sio mtaji kuelekea uchaguzi 2024/2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nitajie jina la shule.
 
Mtoa mada hujitambui, Uhuru wa kufanya siasa sio hisani bali ni haki ya kila mtu. Kama ccm hatutaki kuwa na vyama vingi basi tupeleke mswaada wa kuvifuta
 
Mtoa mada hujitambui, Uhuru wa kufanya siasa sio hisani bali ni haki ya kila mtu. Kama ccm hatutaki kuwa na vyama vingi basi tupeleke mswaada wa kuvifuta
Nikulize swali. Kuandamana na kuharibu miundombinu ni siasa?
 
Kwahiyo unatuambia ruzuku, zile 150 milioni vyote hivyo kumbe ni hongo, rushwa?
 
Sijasoma andiko lako refu lote kwa sababu halina maana kwani ni takataka tu umeandika huku ukionyesha ushabiki maandazi.

1. Rais Samia kama alichangia kanisa alifanya hivyo kama raia yeyote anavyoweza kuchangia harambee yoyote na wala hakuchangia ili atumie hiyo fursa kudhibiti wapinzani wake wa kisiasa.

2. Elewa kwamba ni haki ya vyama vya upinzani kikatiba kufanya mikutano ya kisiasa na wala sio hisani inayotolewa na serikali au rais kama wenye fikra finyu wanavyofikiria.

3. Mbowe na timu yake wana haki kabisa ya kususia hayo maridhiano kwani ccm hawana nia njema ila nia yao siku zote ni kufanya tu vyama vya upinzani vionekane wajinga kwani nia yao ni kupoteza muda ili tume huru isipatikane kwa wakati kwani siku zote wanaogopa uchaguzi wa haki kwa sababu wananchi walishachoka nao ndio maana siku zote wanachofanya ni kuhujumu uchaguzi ili waendelee kung'ang'ania madarakani.
 
Fuatilia huko Moshi vijijini na mbunge wa Vunjo utaipata bila chenga. Nadhani nimeenda mwendo!

Walioko huko mnaijua fika kama mko humu muiweke hapa.
Ninakuuliza jina la shule unaniambie nifuatilie mbunge wa vunjo. Wewe zimo kweli kichwani?
 
Maandano hufanywa na primitive people.
 
Dah! Wewe ni msomi gani wa UDASA ambaye unashindwa kujikita kwenye hoja za Chadema, na badala yake unakuja na gazeti refu kama yule kijana aliyezoeleka humu kwa jina la Lucas mwashambwa!!

Nilitegemea ungejikita zaidi kwenye kuzijibu sababu za hao Chadema kususia maridhiano, na pia kutangaza maandamano kama zina mashiko, au la!! Hayo masuala mengine uliyoaandika, sidhani kama yana msingi. Maana hayahusiani na hayo malalamiko ta Chadema.
 
Atangulie yeye na familia yake siku ya maandamano
 
Tunawajua wazee wa kususa. Watanzania wamechoshwa na wasusaji. Kama wanawake wajawazito
 
Unajua maana ya maridhiano?
Yapi ya Samia na Mbowe? Sijui maana yake, niambie.

Maridhiano ya maana yoyote kwa Watanzania wote yataletwa na katiba mpya kuwashirikisha wadau wote. Sio watu wawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…