Pre GE2025 Freeman Mbowe kuona ni kuamini, achana na siasa za mkia wa mbuzi, jeuri na kiburi sio mtaji kuelekea uchaguzi 2024/2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yapi ya Samia na Mbowe? Sijui maana yake, niambie.
Kumbe hujui hata maana ya maridhiano!!! Nenda shule kwanza ndio uje tujadiliane. Wewe utakuwa kunguni wa Mbowe.
 
Kumbe hujui hata maana ya maridhiano!!! Nenda shule kwanza ndio uje tujadiliane. Wewe utakuwa kunguni wa Mbowe.
Wala sipo huko kwa CDM wala CCM. Nipo kwa maslahi ya Tanzania. Usilazimishe Watanzania wote kuwa chawa watumwa kama wewe wa binadamu, chama fulani badala ya kujali maslahi ya taifa kwanza.
 
Tunawajua wazee wa kususa. Watanzania wamechoshwa na wasusaji. Kama wanawake wajawazito
Ni vile tu wapinzani nchini hawana umoja, hawana misimamo, wengi wao ni vigeugeu, wachumia tumbo na pia wanafiki. Na ndiyo maana mara zote mmekuwa mkiwachezea mpendavyo.

Ila ukweli nyinyi Ma ccm, hamjawahi kutanguliza maslahi ya Taifa kwenye jambo lolote lile. Siku zote kila mnachofanya, huwa mnatanguliza maslahi yenu kwanza.
 
Ni kumpaMbowe 150 mn za kanisa na ruzuku CDM na ACT watulie kama ulivyosema hapo juu na kwa upeo wako unapoishia.
Nimekuuliza swali unayajua maslahi ya Tanzania? Kama unayajua yataje.
 
Kwahiyo unakubali kuwa Mbowe ni kigeugeu, Mchumia tumbo na pia ni mnafiki?
 
Warioba alipita nchi nzima kukusanya maoni kwa maslahi ya Taifa. Kama kuna nia ya dhati tungeanzia hapo.
Nimekuuliza unayajua maslahi ya Taifa. Kama hujui sema.
 
Chawa kama chawa.
Acheni ubinafsi.
Alichokisema Mbowe ni Sauti ya wananchi wengi.
Endeleeni kuumiza watu, siku moja mtapata kinachowastahili
 
Hizi hoja kama zimetolewa na mhudumu wa ofisi ya UDASA, atakuwa amejitahidi, ila kama ni lecturer, basi huyu naye atakuwa ni lecturer takataka.

Argument zake zimekaa kilayman hasa. Hana utofauti na wale wajinga ambao huwa wanasema kuwa mapato ya Serikali yameongezeka saba katika miaka hii saba, kwa sababu miaka saba iliyopita makusanyo yalikuwa trillion 1 na sasa ni shilingi trillion 3.

Yaani mtu anabwabwaja bila ya kufikiria depreciation ya shilling against hard currencies, na depreciation ya hard currencies pia. Hafikirii juu ya ongezeko la watu pia. Anataka ajisifu kuna ongezeko la makusanyo kwa kulinganisha makusanyo wajati watu wakiwa 40m na pale ambapo wapo 60m. Kama angekuwa msomi anayejitambua angetoa takwimu ya ongezeko la kodi in real terms.

Mtu hajui kuwa shilling imekuwa ikishuka thamani.
Sarafu nyingine kubwa kama dollar, euro na pauni nazo zimekuwa zikishuka thamani. Hajui kuwa hard currencies on average zina-depreciate by 25% after every 7 years.

Yawezekana kabisa makusanyo ya shilingi trilion 1.5 ya miaka 7 iliyopita ni makubwa kuliko makusanyo ya shilingi trilioni 2 ya leo. Unatakiwa ubadilishe trilioni yako 1.5 kwa rate ya dola miaka 7 iliyopita. Halafu shilingi trilioni 2 ya leo. Halafu depreciate hii ya sasa kwa 25%, uone itakuwa ni dollar ngapi, linganisha na hiyo ya miaka 7 iliyopita.

Mtu hajui kuwa dollar 100 ya mwaka 1960 ni kubwa kuliko dollar 1,000 ya leo.

$100 in 1960 is equivalent in purchasing power to about $1,036.30 today, an increase of $936.30 over 64 years. The dollar had an average inflation rate of 3.72% per year between 1960 and today, producing a cumulative price increase of 936.30%

Kama dolar ina-depreciate kwa 3.72%; jiulize shilingi ina-depreciate kwa asilimia ngapi?
 
Tangu 1995 Mbowe anaiongoza CDM hivi hakuna wenye akili wengine ndani ya CDM?
Ccm inavyolazimisha kukaa madarakani kwa shuruti muda wote huu, kwani hakuna chama kingine chenye uwezo huo wa kuongoza?
 
Reactions: Cyb
Ccm inavyolazimisha kukaa madarakani kwa shuruti muda wote huu, kwani hakuna chama kingine chenye uwezo huo wa kuongoza?
Hakuna chama kisicholazimisha kukaa madarakani.
 
Maandano hufanywa na primitive people.

Uchawa hufanywa na punguani. Maandamano ya amani hufanywa na watu wanaojitambua ikiwa ni njia shirikishi zaidi ya kufikisha maoni yao kwa watawala. Maandamano hupima ni watu wengi kiasi gani wanaguswa na suala husika. Ndiyo maana kwa nchi zilizostaarabika, kama maandamano ni ya amani, watawala huweza kujitokeza mbele ya waandamanaji na kutoa majibu ya yale yaliyowafanya waandamane.
 
Unataka wakae marakani kwa njia gani. La chama chochote cha siasa ni kushinda na kuchukua madaraka.
Wakae madarakani kwa ridhaa ya wananchi, sio kwa kubaka uchaguzi.
 
Wakae madarakani kwa ridhaa ya wananchi, sio kwa kubaka uchaguzi.
CHADEMA chama cha familia. Wananchi gani walimruhusu Mbowe kukaa kwenye uenyekiti zaidi ya miaka 20?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…