Freeman Mbowe kusema aliokoa maisha ya Tundu Lissu ni kauli ya kufuru na ya ovyo

Au ndio yeye aliyetuma vijana wa kazi wakashindwa kufanikisha lengo?/
 
Shida ya mbowe Hana sera za kufanya agombee hii miaka mitano....
 
Kama kashindwa milion 30 hizo nyingine itakuwaje.Mtu kama Mbowe busara zake zinamfanya awe na marafiki wengi wanaomsapot.Shida ya Lisu ana marafiki wa mdomo na sio wa vitendo na sio marafiki wa kweli ndio maana wanamshauri awe mjeuri zaidi
..Hizo busara zimesaidia nn uchaguzi wa serikali za mitaa?
 
jamani TL c alishapona waliomuokoa ni simusimu sasa bac MWAMBA hakuhusika na chochote kwenye uokozi wa TL clazima kukubaliana na nini
 
Nlifikir mtu atende wema asepe zake na asisubir shukrani. Duniani sio Mbowe pekee alotenda wema- kina Msigwa, alietoa uxafiri, madaktari, walotoa damu zao ...nk. walshiriki kuokoa maisha ya TAL. Nlitegmea majadliano yawe "TAL kgombea ni halali xi halai?" Kama Katiba inaruhusu haya mengine yote ni kushabikia kiongozi (mtu) badala ya chama- dalili za uchawa
 
Mimi sipingi Lissu kugombea na hata Mbowe hapingi, mtu yeyote prudent anataka katiba ya CHADEMA ifuatwe.

Mbowe anasikitika ,mtu aliyemsaidia kiasi hicho amegeuka kumkashifu, kumchafua kwa, maneno ya uongo. Lissu angeweza kugombea na kukampeni kistaarabu, mbona mwenzake Heche anagombea umakamu lakini hajamkashifu mtu.

Lissu na mashabiki wake ndio hawartaki Mbowe agombee.
 
Kama wasemavyo kwenye boxing Tundu anapiga below the belt na arudishiwe hivyo hivyo.
 

Kugombea kw TAL kanatakana na mtu wako kusitasita kuamua. Na katiba inaruhusu. Mambo ya kumtendea wema au kumsaidia mtu kw lolote havihusiani na katiba. Wala nafasi za vyama havihusiani na hisani wanazotoa wagombea. Ni maandiko ya kisheria na ili kuyatendea haki ni budi kufuatwa. Tusiwe kama jamii fulani wanaoamini katiba ni kijitabu tu ...nk
 
Leo nimekukubali,kweli kusaidia mtu yoyote akiwa katika Hali mbaya sio lazima uwe kiongozi!Huo ndio inaitwa ubinadamu na ni wajibu wa kila mtu aliyopo kwenye tukio,mwenye akili timamu .
 
Sasa kama unataka katiba ifuatwe kwa nini mnapiga kelele na kulazimisha Mbowe ajitoe?
 
Sasa kama unataka katiba ifuatwe kwa nini mnapiga kelele na kulazimisha Mbowe ajitoe?
Wanaopiga kelele ni wanaoona keshafanya kw ufasaha wajibu na kwamba kama kiongozi mwenye hekima na kujaa busara kama dunia inavojua, anajua kwamba, uongozi wa chama chchte una mwisho, hata kama katiba inaruhusu. Ni walafi wa madaraka tu wanaotumia kisingizio cha matakwa ya katiba kutawala milele. Na wengine wa aina hio, hua wanalazimisha katiba ifanyiwe marekebisho watawale, kama kina Mugabe. Kw ss mtu wako anatukanwa kw sbb ya kuona na ku-enjoy utamu wa ofisi - imekua tamu kupita maelezo, hataki kuondoka na ana machawa/wapambe kama ninyi wanamjaza kiburi ...nk. Alishafanya yake mema, apumzike kw heshima, analo la kujivunia lkn kw jinsi alivo, anajiharibia jina, hata akishinda uchaguzi... dah,
 
Kuna umuhimu gani wa kuwa na katiba kama haiwezi kufuatwa?

Hizo hioa kama zina mashiko kwa nin Lissu wako hakupigania ziwekwe katika katiba?

Mnaogopa nini Lissu kulikabili sanduku la kura?
 

Kila aombae lzm ujue?
 
Wapi nimesema kasema uongo? Nimesema anaongea sana, na hana mipaka ya nini aongee na nini kiwe cha kamti za uongozi. Akishinda inabidi waandishi wa habari wawe wanishi ofisi za chadema, maana hatutapumzika hizo press kwa miaka mitano.
Ni afadhali kuliko kuwa kiongozi aliyelala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…