Freeman Mbowe kusema aliokoa maisha ya Tundu Lissu ni kauli ya kufuru na ya ovyo

Hii kauli ni kufuru. Lissu kupona ni miujiza ya Mungu na sio Mbowe wala mwanadamu mwingine yeyote. Pia mchakato wa kumtoa Lissu Dodoma hadi Nairobi ulihusisha watu wengi sana na sio Mbowe tu. WanaCCM wengi tu walishiriki kumkimbiza Lissu hospitalini. Kauli ya Mbowe kuwa aliokoa uhai wa Lissu ni kauli ya kipuuzi mno.

Mbowe kama kiongozi mkuu wa CHADEMA hakuwa na jinsi ya kukwepa jukumu la kuhakikisha Lissu anapata huduma. Macho ya watu wote yalikuwa kwake. Alichofanya ni moja ya majukumu yake na sio lazima atake fadhila kwa Lissu. Tatizo huyu mtu anaangalia kila kitu kama fursa ya biashara. Ni aibu kwake na Wenje kuanza kusema kuna hela wanamdai Lissu kwa kumsaidia kwenye matibabu yake.

Ninamsihi Sultani Mbowe ajaribu kujenga hoja za kisomi badala ya kuachia hoja za kipuuzi kama mpambe wake Yericko.
hata kama ni kweli alimsaidia je hiyo itamfanya Lisu asigombee uwenyekiti chadema!
 
Wewe ni zaidi ya kipofu.

Hujui aliyoyafanya Mbowe kumuokoa Lissu hao watu wengi walikuwa wanasaidia bila coordination na maamuzi?

Bila Mbowe kukataa Lissu angepelekwa Muhimbili na huko angemaliziwa.
Mbowe alikaa Nairobi miezi minne akimuuguza na pia akitafuta pesa toka vyanzo mbalimbali ili Lissu atibiwe.

Subiri uone Lissu wako atakavyomaliza safari yake ya kisiasa akiwa dhalili. Nyie mnaomvimbisha kichwa mkiwa katika key board hamtamsaidia lolote mpaka sasa mmeshindwa kukamilisha hata mchango wa kumnunulia gari mwaka .zima mnachangishana.
Naamini ungesaidiwa wewe hata Mbowe angetaka kukuoa. Ungekubali
 
Hii kauli ni kufuru. Lissu kupona ni miujiza ya Mungu na sio Mbowe wala mwanadamu mwingine yeyote. Pia mchakato wa kumtoa Lissu Dodoma hadi Nairobi ulihusisha watu wengi sana na sio Mbowe tu. WanaCCM wengi tu walishiriki kumkimbiza Lissu hospitalini. Kauli ya Mbowe kuwa aliokoa uhai wa Lissu ni kauli ya kipuuzi mno.

Mbowe kama kiongozi mkuu wa CHADEMA hakuwa na jinsi ya kukwepa jukumu la kuhakikisha Lissu anapata huduma. Macho ya watu wote yalikuwa kwake. Alichofanya ni moja ya majukumu yake na sio lazima atake fadhila kwa Lissu. Tatizo huyu mtu anaangalia kila kitu kama fursa ya biashara. Ni aibu kwake na Wenje kuanza kusema kuna hela wanamdai Lissu kwa kumsaidia kwenye matibabu yake.

Ninamsihi Sultani Mbowe ajaribu kujenga hoja za kisomi badala ya kuachia hoja za kipuuzi kama mpambe wake Yericko.
Idilo lijua usiliseme.
Mbowe alikataa Lissu kupelekwa Muhimbili.
Na kama ange oelekwa Muhimbili Lissu inge kuwa historia. Take it from me.
Ndege ya kumpeleka Lissu Kenya iliondoka usiku Dodoma, kilicho fuata Mkuu wa mkoa wa wa Dodoma, alifukuzwa kazi kwa kuruhusu ndege kupaa,
Mtaalamu wa dawa za usingizi alie saidiana na madaktari wa Dodoma alikuwa katibu mkuu afya, alipo rudi Dar alikosa ukatibu mkuu kwa kumsaidia Lissu. Leo mtu ana nyanyuka ana sema Mbowe hakushiriki kumsaidia Lissu?? Kuweni na uso wa aibu. Kweli Mungu ndie kila kitu ila huwatumia manabii na watumishi kufikisha ujumbe. Tukubali basi kwamba Mungu ali mtumia Mbowe kuokoa maisha ya Lissu. Wala Mbowe hahitaji fadhila kwa hilo, na haja wahi omba fadhila kwa hilo.
 
Loh🤔🤔..!

MamaSamia2025 umepatwa na nini leo? Unamtetea Tundu Lissu na kumponda Freeman Mbowe..?

Hii nimeipenda na kumbe wewe ni mwanasiasa lakini pia una unaujua na kuthamini utu na ubinadamu wa mtu...

Freeman Mbowe ktk fyongo zote, hili amechemka na kutia aibu big time...

Na cha ajabu tunaambiwa huyu ndiye mtu aliye na busara eti? Hivi kwa kipimo cha kawaida mtu mwenye busara anaweza hata kufikiria tu kupanua mdomo wake kusema maneno haya kweli..???

Hivi tujiulize pia kuwa, hivi, yote haya ni kwa sababu ya uenyekiti wa CHADEMA tu ambao kazi yenyewe wanadai huwa ni ya kujitolea tu?

Au Freeman Mbowe ana kitu kingine amekichimbia hapa CHADEMA na hivyo bado anahangaika kukichimbua..?

Kama ni pesa wanamdai Tundu Lissu hebu na waseme ni shilingi ngapi na uhalali wa deni hilo umekaaje ili tumchangie Tundu Lissu awalipe hawa hayawani waache ujinga wao...
 
Mbowe ana akili za kitoto sn
 
Mbowe anapiga pesa pale CHADEMA
 
Eeh Mbowe anajitia aibu kuwa kila chema ni yeye tu !
 
Idilo lijua usiliseme.
Mbowe alikataa Lissu kupelekwa Muhimbili.
Na kama ange oelekwa Muhimbili Lissu inge kuwa historia. Take it from me.
Ndege ya kumpeleka Lissu Kenya iliondoka usiku Dodoma, kilicho fuata Mkuu wa mkoa wa wa Dodoma, alifukuzwa kazi kwa kuruhusu ndege kupaa,
Mtaalamu wa dawa za usingizi alie saidiana na madaktari wa Dodoma alikuwa katibu mkuu afya, alipo rudi Dar alikosa ukatibu mkuu kwa kumsaidia Lissu. Leo mtu ana nyanyuka ana sema Mbowe hakushiriki kumsaidia Lissu?? Kuweni na uso wa aibu. Kweli Mungu ndie kila kitu ila huwatumia manabii na watumishi kufikisha ujumbe. Tukubali basi kwamba Mungu ali mtumia Mbowe kuokoa maisha ya Lissu. Wala Mbowe hahitaji fadhila kwa hilo, na haja wahi omba fadhila kwa hilo.
SWALI NI HILI:

Freeman Mbowe alishiriki? Jibu ni NDIYO. But........So what.....?

Na kwani Tundu Lissu mwenyewe anapinga kuwa Mwenyekiti wake hakushiriki ktk harakati hizi za kuokoa uhai wake...?

Na Tundu Lissu kila wakati anapopata muda wa kuongelea masaibu haya, huwa hasiti kumshukuru kila mmoja aliyetumiwa na Mungu kuokoa maisha yake kwa maombi, kutoa damu, kutoa fedha na kila aliyetoa msaada mwingine wowote uliohitajika..

Yeye Freeman Mbowe anataka apewe shukrani maalumu bila shaka, au siyo....?

Hata hivyo, ni shukrani gani maalumu anataka apewe ili atulie, aridhike na asiendelee kutumiwa na shetani kujipalia hukumu ya Mungu bure kwa makufuru yake haya...?

Hata hivyo, kila mtu makini anajiuliza swali hili muhimu sana👇🏻👇🏻

Kwamba, hizi kauli za matwezo na dharau dhidi ya Tundu Lissu toka kwa Mbowe ni kwa sababu ya uenyekiti tu au kuna kitu kingine tusichojua..???

Honestly, mimi sikuwa nadhani kabisa kuwa Freeman Mbowe mtu tuliyekuwa tunafikiri ni makini na mwenye busara (kama inavyosemwa) anaweza kubanwa mpaka akaonesha upande wake wa ujinga na upumbavu...

Hili linathibitisha haya...
 
Swali kwako mkuu. Ukisaidiwa huna haki ya kujipambania zaidi hata kumchallange alie kisaidia..? Ni jambo baya na ovu kuona mtu fulani hastahili kupingwa
Sijaongelea mambo ya kupingwa au la, wapingane watakagyoweza hata wachafuane na kufanyiana figisu kama inavyoendelea mitandaoni na kwenye media uchwara. It's their own business.
Hapa topic iliyopo ni kuhusu Mbowe kuokoa maisha ya Lissu which is very true, kusema hakuna mwanadamu anayeokoa maisha ya mwanadamu bali ni Mungu ni stupidity at it's highest level. Kama ingekuwa hivyo basi huyo Mungu anapendelea first world countries sana na kizionea nchi za third world ambapo watu hufa haraka(average life expectancy ya third world iko chini), watu wanaokoana maisha, wanauana na pia wanadhuriana hivyo kuingiza upuuzi wa Imani ambazo si kila mwanadamu anaziamini it is so absurd.
 
Idilo lijua usiliseme.
Mbowe alikataa Lissu kupelekwa Muhimbili.
Na kama ange oelekwa Muhimbili Lissu inge kuwa historia. Take it from me.
Ndege ya kumpeleka Lissu Kenya iliondoka usiku Dodoma, kilicho fuata Mkuu wa mkoa wa wa Dodoma, alifukuzwa kazi kwa kuruhusu ndege kupaa,
Mtaalamu wa dawa za usingizi alie saidiana na madaktari wa Dodoma alikuwa katibu mkuu afya, alipo rudi Dar alikosa ukatibu mkuu kwa kumsaidia Lissu. Leo mtu ana nyanyuka ana sema Mbowe hakushiriki kumsaidia Lissu?? Kuweni na uso wa aibu. Kweli Mungu ndie kila kitu ila huwatumia manabii na watumishi kufikisha ujumbe. Tukubali basi kwamba Mungu ali mtumia Mbowe kuokoa maisha ya Lissu. Wala Mbowe hahitaji fadhila kwa hilo, na haja wahi omba fadhila kwa hilo.
Uko sahihi mkuu!
 
Pia watu wakisha kujua kuwa hushauriki na hutaki kuachia cheo husika lazma watafute mbinu. Si amini kuwa lissu yupo peke yake. Kuna vigogo wengi tu na wanachadema wengi tu hawamtaki mbowe kwa sasa na ipo wazi aina ya siasa zake kwa sasahazina maajabu tena
Hayo ni yao na chama chao, all politicians are crooks. Kuamini mwanasiasa yoyote ni utaahira, hizi siku chache jamaa(Mbowe na Lissu) wamejidhalilisha na kudhalilishana ila mashabiki waliopofushwa na mahaba(from both sides) wanaona upande wanaoshabikia uko sahihi kwani wanapofushwa na mahaba kindezindezi sana.
 
Napigilia Msumari..."Lissu kupona ni miujiza ya Mungu na sio Mbowe wala mwanadamu mwingine yeyote." Hilo tu ndilo watu wanashupaza Shingo na kukataa kulijua.
Hatupingi ukuu wa Mungu hapa duniani lakini Mungu ametupa akili na utashi na kututaka tuvitumie, ulimwengu hauendeshwi kwa miujiza bali kwa kufanya kazi.

Mungu huyohuyo ametoa anri usiue maana yake binadamu anaweza kuua na pia anaweza kuuponya uhai.

Mbowe ndiye alikuwa lynchipin katika uponyaji wa Lissu.

Mbowe hahitaji kushukuriwa ila walau hakutarajia mtu aliyemsaidia kiasi hicho amkashifu, kumtukana na kumchafua kwa uongo. Mbowe amejenga heshina yake kwa miaka takribani 35 kisha Lissu anaibuka na kumchafua kwa uongo .
 
Hii kauli ni kufuru. Lissu kupona ni miujiza ya Mungu na sio Mbowe wala mwanadamu mwingine yeyote. Pia mchakato wa kumtoa Lissu Dodoma hadi Nairobi ulihusisha watu wengi sana na sio Mbowe tu. WanaCCM wengi tu walishiriki kumkimbiza Lissu hospitalini. Kauli ya Mbowe kuwa aliokoa uhai wa Lissu ni kauli ya kipuuzi mno.

Mbowe kama kiongozi mkuu wa CHADEMA hakuwa na jinsi ya kukwepa jukumu la kuhakikisha Lissu anapata huduma. Macho ya watu wote yalikuwa kwake. Alichofanya ni moja ya majukumu yake na sio lazima atake fadhila kwa Lissu. Tatizo huyu mtu anaangalia kila kitu kama fursa ya biashara. Ni aibu kwake na Wenje kuanza kusema kuna hela wanamdai Lissu kwa kumsaidia kwenye matibabu yake.

Ninamsihi Sultani Mbowe ajaribu kujenga hoja za kisomi badala ya kuachia hoja za kipuuzi kama mpambe wake Yericko.
Leo umeongea pointi.
 
Wewe ni zaidi ya kipofu.

Hujui aliyoyafanya Mbowe kumuokoa Lissu hao watu wengi walikuwa wanasaidia bila coordination na maamuzi?

Bila Mbowe kukataa Lissu angepelekwa Muhimbili na huko angemaliziwa.
Mbowe alikaa Nairobi miezi minne akimuuguza na pia akitafuta pesa toka vyanzo mbalimbali ili Lissu atibiwe.

Subiri uone Lissu wako atakavyomaliza safari yake ya kisiasa akiwa dhalili. Nyie mnaomvimbisha kichwa mkiwa katika key board hamtamsaidia lolote mpaka sasa mmeshindwa kukamilisha hata mchango wa kumnunulia gari mwaka .zima mnachangishana.
hata kama mbowe ataibuka kidedea unadhani chadema itabaki kama ilivyo sasa? Itakuwa kama CUF
 
Idilo lijua usiliseme.
Mbowe alikataa Lissu kupelekwa Muhimbili.
Na kama ange oelekwa Muhimbili Lissu inge kuwa historia. Take it from me.
Ndege ya kumpeleka Lissu Kenya iliondoka usiku Dodoma, kilicho fuata Mkuu wa mkoa wa wa Dodoma, alifukuzwa kazi kwa kuruhusu ndege kupaa,
Mtaalamu wa dawa za usingizi alie saidiana na madaktari wa Dodoma alikuwa katibu mkuu afya, alipo rudi Dar alikosa ukatibu mkuu kwa kumsaidia Lissu. Leo mtu ana nyanyuka ana sema Mbowe hakushiriki kumsaidia Lissu?? Kuweni na uso wa aibu. Kweli Mungu ndie kila kitu ila huwatumia manabii na watumishi kufikisha ujumbe. Tukubali basi kwamba Mungu ali mtumia Mbowe kuokoa maisha ya Lissu. Wala Mbowe hahitaji fadhila kwa hilo, na haja wahi omba fadhila kwa hilo.
Mbowe ndo alikuwa mkuu wa mkoa? Mtaalamu wa dawa za usingizi? Rubani? Kila mtu alicheza kwenye nafasi. Waliohusika ni wengi. Huyo Mbowe aache upuuzi wa kujisifia kama vile yeye ni binamu yake malaika mtoa roho.
 
hata kama mbowe ataibuka kidedea unadhani chadema itabaki kama ilivyo sasa? Itakuwa kama CUF
Hakuna shida kwani nani alikuambia CHADEMA ina hakimiliki ya kuwapigania watanzania?
 
Loh🤔🤔..!

MamaSamia2025 umepatwa na nini leo? Unamtetea Tundu Lissu na kumponda Freeman Mbowe..?

Hii nimeipenda na kumbe wewe ni mwanasiasa lakini pia una unaujua na kuthamini utu na ubinadamu wa mtu...

Freeman Mbowe ktk fyongo zote, hili amechemka na kutia aibu big time...

Na cha ajabu tunaambiwa huyu ndiye mtu aliye na busara eti? Hivi kwa kipimo cha kawaida mtu mwenye busara anaweza hata kufikiria tu kupanua mdomo wake kusema maneno haya kweli..???

Hivi tujiulize pia kuwa, hivi, yote haya ni kwa sababu ya uenyekiti wa CHADEMA tu ambao kazi yenyewe wanadai huwa ni ya kujitolea tu?

Au Freeman Mbowe ana kitu kingine amekichimbia hapa CHADEMA na hivyo bado anahangaika kukichimbua..?

Kama ni pesa wanamdai Tundu Lissu hebu na waseme ni shilingi ngapi na uhalali wa deni hilo umekaaje ili tumchangie Tundu Lissu awalipe hawa hayawani waache ujinga wao...
Tukio la Lissu kupigwa risasi lilikuwa la kinyama sana. Ni mashetani ya Chato tu ndo yanaweza kuona ilikuwa sawa. CCM tunahitaji sana Mbowe awe mwenyekiti ila anazingua anavyoanza kuharisha upumbavu.
 
Wewe ni zaidi ya kipofu.

Hujui aliyoyafanya Mbowe kumuokoa Lissu hao watu wengi walikuwa wanasaidia bila coordination na maamuzi?

Bila Mbowe kukataa Lissu angepelekwa Muhimbili na huko angemaliziwa.
Mbowe alikaa Nairobi miezi minne akimuuguza na pia akitafuta pesa toka vyanzo mbalimbali ili Lissu atibiwe.

Subiri uone Lissu wako atakavyomaliza safari yake ya kisiasa akiwa dhalili. Nyie mnaomvimbisha kichwa mkiwa katika key board hamtamsaidia lolote mpaka sasa mmeshindwa kukamilisha hata mchango wa kumnunulia gari mwaka .zima mnachangishana.
Hayo yote Mbowe ni sehemu ya sera zake?? Je kwa lisu kugombea ni haki ya kidemokrasia au sio haki?? Kama ni haki why mbowe anapata mchecheto
 
Back
Top Bottom