Freeman Mbowe, Mnyika na Viongozi CHADEMA wakutana na Rais Samia na Viongozi wa CCM Ikulu ya Chamwino - Dodoma leo 20/5/2022

Mtu bado anakukanyaga makusudi halafu anakwambia usilalamike, bado tupo kwenye meza ya mazungumzo, kuwa mvumilivu!
Aiseee!
Nimecheka kwanza, halafu nikasikitika.

Mkuu denoo J, una njia zako 'effective' sana za kufikisha ujumbe mzito kwa maneno machache sana.
Binafsi nafurahia zaidi kusoma hizi 'loaded messages' fupifupi zinazofikisha ujumbe kamili, pengine zaidi ya yale maandiko unayojieleza kwa kirefu sana hadi ujumbe unakuwa mgumu kueleweka.
 
Anhaa! Labda hata kwenye ile kesi ya mchongo, kwa akili yako huru, alilipwa!
Acha uvivu wa kufikiri kwa kukubali akili yako ikubali kuchezeshwa shere na wanasiasa uchawa. We unafikiri katika mambo ya mfumo hilo swala la kesi ni kitu gani? Si inaandaliwa tu huku mlengwa akijifanya kuwa ana kesi kweli wakati ki uhalisia ni kesi butu. Kwa kukupa uelewa kidogo, hata Lipumba alichezea kichapo akavunjwa mkono na bado akafungwa na kesi juu hadi pale raisi Kikwete alipoingilia kati kama alivyoingilia raisi Samia kwa Mbowe. Usifikiri kaachiwa kwa bahati mbaya, isipokuwa wanaona lengo lao la kuuhadaa uma limeshatimia. Na mmoja wa waliofanikiwa kuwahadaa ni wewe. Ukiambiwa kama Osama bin Laden alikuwa CIA utakataa kwa jinsi USA ilivyoonesha kumtafuta ili imuangamize, lkn wenye akili wanajiuliza je ilikuaje mtu kama Sadam au Ghadafi wafariki, wazikwe na makaburi yao yaonekane, ila la Osama lifanywe siri eti amezikiwa majini. Mambo ya kitengo ww huyajui ndio maana unaleta hoja dhoofu za mtu kufungwa na kuharibiwa shamba.
 
Haya tunasubiri.
 
Wewe hata mumeo akishindwa kusimamisha ili akupande utamsingizia magufuli
Nenda kafirwe huko kama unawashwa wacha kutuandikie ujinga wenu hapa. Wasukuma muda wenu umekwisha na hamtokuja kutawala Tz tena
 
Unaona ukiandika maelezo yote hayo utaaminika kwamba siyo mpumbavu na utaonekana una akili ‘kubwa’!
 
Unaona ukiandika maelezo yote hayo utaaminika kwamba siyo mpumbavu na utaonekana una akili ‘kubwa’!
Mwenye chawa na genge lake wakiona hizi post zako humu JF wanacheka tu kwa kufanikiwa kumiliki uwezo wako wote wa kufikiri. Wameshagundua kuwa akili yako ni nyembamba mno mpaka imeshindwa kugundua siasa butu na zile za kweli.
 
Kwa kuzungumza tu kuhusu katiba mpya hata kabla ya matokeo ni hatua kubwa
 
Nenda kafirwe huko kama unawashwa wacha kutuandikie ujinga wenu hapa. Wasukuma muda wenu umekwisha na hamtokuja kutawala Tz tena
Hii tabia ya kuramba matakle ya kina chongolo ili watoto wako waende chooni ni ya kishenzi sana!

Fanya kazi, utapakuliwa mpaka lini?
 
Mzee Kinana ana miaka mingapi? Kwenye picha inaonesha amezeeka sana na kukonda sana!!
 
Tatizo ni Je Pinda na Wahafidhina wengine kama Kasimu Majaliwa watakubali ?
 
Naheshimu mawazo yako mkuu. Ila hii nchi huijui bado. Samia amekuwa muungwana sana, she is a woman she is Muslim woman she is a zanzibarian.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…