Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Wamesha anzisha hao ila pia wamekwama kabla ya kuanza Kwa kuendeleza mrengo uliowagawa watanzania na kuwaudhi pakubwa🚶Kesi ilikua ya mchongo, ushahidi wa kuunga unga! Serikali walijua utetezi watapangua kesi, wakaweka mpira kwapani. Mmekuwa mkisema CHADEMA wanafanya siasa za fujo, sasa Mbowe anatafuta muafaka mnaleta maneno ya usaliti! Nyie msiotaka mazungumzo, anzisheni Umoja Party!