Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Kama ambayo wewe bi mkubwa wako akishindwa kufika anamsingizia mbowe/ chademaWewe hata mumeo akishindwa kusimamisha ili akupande utamsingizia magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ambayo wewe bi mkubwa wako akishindwa kufika anamsingizia mbowe/ chademaWewe hata mumeo akishindwa kusimamisha ili akupande utamsingizia magufuli
Aiseee!Mtu bado anakukanyaga makusudi halafu anakwambia usilalamike, bado tupo kwenye meza ya mazungumzo, kuwa mvumilivu!
Wewe kadai hiyo katiba, Kwani wewe siyo Mtanzania?Sasa kila kitu ni Asante Rais, hatujamsikia tena Mbowe akidai katiba mpya
Lakini mkuu, huyo Ni ke siyo me!! Akiwaga period ndo tabia zake hizo!Kama ambayo wewe bi mkubwa wako akishindwa kufika anamsingizia mbowe/ chadema
Acha uvivu wa kufikiri kwa kukubali akili yako ikubali kuchezeshwa shere na wanasiasa uchawa. We unafikiri katika mambo ya mfumo hilo swala la kesi ni kitu gani? Si inaandaliwa tu huku mlengwa akijifanya kuwa ana kesi kweli wakati ki uhalisia ni kesi butu. Kwa kukupa uelewa kidogo, hata Lipumba alichezea kichapo akavunjwa mkono na bado akafungwa na kesi juu hadi pale raisi Kikwete alipoingilia kati kama alivyoingilia raisi Samia kwa Mbowe. Usifikiri kaachiwa kwa bahati mbaya, isipokuwa wanaona lengo lao la kuuhadaa uma limeshatimia. Na mmoja wa waliofanikiwa kuwahadaa ni wewe. Ukiambiwa kama Osama bin Laden alikuwa CIA utakataa kwa jinsi USA ilivyoonesha kumtafuta ili imuangamize, lkn wenye akili wanajiuliza je ilikuaje mtu kama Sadam au Ghadafi wafariki, wazikwe na makaburi yao yaonekane, ila la Osama lifanywe siri eti amezikiwa majini. Mambo ya kitengo ww huyajui ndio maana unaleta hoja dhoofu za mtu kufungwa na kuharibiwa shamba.Anhaa! Labda hata kwenye ile kesi ya mchongo, kwa akili yako huru, alilipwa!
genius lazima aongee maana anafanya vitu vikali na lazima avi publish! umenielewa?watu wametulia tuu huko sio waropokaji, wako magineus wengi tuu tz ila sio waongeaji
Ulitaka wafanye nin badala yakeWanafuata nini ikulu kila mara kama sio kupotezeana muda?
Haya tunasubiri.To open up a new chapter as a nation haijawahi kuwa dhambi...
Hili kama ni kweli bac ni jambo jema kwa kila mwenye pumzi..
Narudia tena Political reconciliation ndiyo njia pekee ya kujenga taifa imara lenye umoja na nguvu kiuchumi kisiasa na kiutamaduni.
Nchi haiwezi kujengwa na mawazo ya upande mmoja.
Majibu yangu yako huku huku.Ulitaka wafanye nin badala yake
Nenda kafirwe huko kama unawashwa wacha kutuandikie ujinga wenu hapa. Wasukuma muda wenu umekwisha na hamtokuja kutawala Tz tenaWewe hata mumeo akishindwa kusimamisha ili akupande utamsingizia magufuli
Muda upi?? FungukaNenda kafirwe huko kama unawashwa wacha kutuandikie ujinga wenu hapa. Wasukuma muda wenu umekwisha na hamtokuja kutawala Tz tena
Unaona ukiandika maelezo yote hayo utaaminika kwamba siyo mpumbavu na utaonekana una akili ‘kubwa’!Acha uvivu wa kufikiri kwa kukubali akili yako ikubali kuchezeshwa shere na wanasiasa uchawa. We unafikiri katika mambo ya mfumo hilo swala la kesi ni kitu gani? Si inaandaliwa tu huku mlengwa akijifanya kuwa ana kesi kweli wakati ki uhalisia ni kesi butu. Kwa kukupa uelewa kidogo, hata Lipumba alichezea kichapo akavunjwa mkono na bado akafungwa na kesi juu hadi pale raisi Kikwete alipoingilia kati kama alivyoingilia raisi Samia kwa Mbowe. Usifikiri kaachiwa kwa bahati mbaya, isipokuwa wanaona lengo lao la kuuhadaa uma limeshatimia. Na mmoja wa waliofanikiwa kuwahadaa ni wewe. Ukiambiwa kama Osama bin Laden alikuwa CIA utakataa kwa jinsi USA ilivyoonesha kumtafuta ili imuangamize, lkn wenye akili wanajiuliza je ilikuaje mtu kama Sadam au Ghadafi wafariki, wazikwe na makaburi yao yaonekane, ila la Osama lifanywe siri eti amezikiwa majini. Mambo ya kitengo ww huyajui ndio maana unaleta hoja dhoofu za mtu kufungwa na kuharibiwa shamba.
Mwenye chawa na genge lake wakiona hizi post zako humu JF wanacheka tu kwa kufanikiwa kumiliki uwezo wako wote wa kufikiri. Wameshagundua kuwa akili yako ni nyembamba mno mpaka imeshindwa kugundua siasa butu na zile za kweli.Unaona ukiandika maelezo yote hayo utaaminika kwamba siyo mpumbavu na utaonekana una akili ‘kubwa’!
Tulia wewe dogo mbowe ni habari nyingine kwenye mambo flani!Wanafuata nini ikulu kila mara kama sio kupotezeana muda?
Hii tabia ya kuramba matakle ya kina chongolo ili watoto wako waende chooni ni ya kishenzi sana!Nenda kafirwe huko kama unawashwa wacha kutuandikie ujinga wenu hapa. Wasukuma muda wenu umekwisha na hamtokuja kutawala Tz tena
So what ?Kweli siasa za Tanzania zinaendeshwa kwa njia ya ulaghai [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2232007
Tatizo ni Je Pinda na Wahafidhina wengine kama Kasimu Majaliwa watakubali ?Huyu Maza ana jambo lake kwa mustakabari wa taifa letu
Mi nilisema toka mwanzo kwamba ana nafasi kubwa saana tena ya wazi ya kuzoa marks zoote za watangulizi wake
Anaweza kutoa katiba mpya...kumbukeni JK alitishwa na wana CCM akagwaya...
Wacha tusubiri....kwani subira huvuta kheri...ila sharti ni moja kwamba kheri yenyewe iwe na dalili ya kuja.
Tunasubiri - watanzania sisi tuna sifa hii.
Naheshimu mawazo yako mkuu. Ila hii nchi huijui bado. Samia amekuwa muungwana sana, she is a woman she is Muslim woman she is a zanzibarian.Mkuu
Wanaccm Lazima tuwe na uwezo wa kufikiri sawasawa!
JIWE alinajisi uchaguzi nini kilimpata!!?Hadi akaingiza covid-19 Bungeni na haikutosha Hadi ikaigharimu serikali take!!!?
Unafikiri Sasa HIVI Kati ya mama na Mbowe nani anamuita mwenziwe IKULU!!?kama SERIKALI haioni umuhimu wa UPINZANI!!? HIVI unajua kesi ya MBOWE ilikuwa inaenda kuigharimu serikali ndio maana watu walitumwa wammbembeleze Mbowe atoke na alipototoka akaitwa ikulu Moja kwa Moja!!?
NAJUA MADARAKA YAMEPOFUSHA WANACCM WENGI NA HAWAONI MAMBO SAWASAWA!!
NIKUJUZE TU KIFUPI NI KWAMBA KUONDOLEWA KWA WABUNGE WA COVID-19 NI MAAGIZO YA THE STATE KWA MAMA SASA MAMA ANAOGOPA WAKIONDOKA NA SERIKALI YAKE ITAKUFA!!
SASA ANATAKA CHADEMA IRIDHIE WABAKI KIBISHI KINYUME NA TARATIBU HAPO NDIO KAZI!
KAMA UNAFIKIRI RAIS ANAWEZA TAWALA BILA UPINZANI BUNGENI NENDA KAMUULIZE JPM CHATO KWANINI ALITAFUTA WABUNGE WA UPINZANI KWA MLANGO WA NYUMA!!!!
I REST MY CASE
Naongezea kuwa uwepo wa covid-19 Bungeni ni kufeli kea Tiss kwenye uchaguzi wa 2020 kwasababu Tiss walicheza tune ya CCM wakati wa uchaguzi wakasahau utaifa SASA Tiss imeikosea NCHI na the state haitokubali ujinga kama huo tena na LAZIMA katiba MPYA ipatikane Ili kuepuka ujinga kama ule mlioubariki uchaguzi 2020!!!TISS ITUBU KWA KUINGIZA TANZANIA MATATIZONI NDIO MAANA WAKABARIKI UHUNI WA COVID 19 ILI KUINUSURU SERIKALI YAKE KISHERIA ZA KIMATAIFA NA UHALALI WAKE!!!
UMENIELEWA!!