MUTUYAMUNGU
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,825
- 4,374
Mbona CCM mmeanza kulalamika tena Kama watoto wa kambo? Si mlisema Mbowe ni gaidi ninyi mkishirikiana na genge lenu la akina Kingai na Mahita.It is only chadema who can see this, wengine ni Rubbish minds
Ukiambiwa mimi ni miongoni mwa Timu ya Chadema inayokutana na Samia utakufa au utaishi ?Katiba mpya itoke wapi? We endelea kufanywa mpira wa dana dana huku mwenyekiti na genge lake wakiendelea kuupiga mwingi kupitia mialiko ya raisi. Mmeshaambiwa siku zote hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Jamaa anatengeneza pesa ndefu kupitia siasa uchwara, huku akiwaacha watu wenye misimamo thabiti na chama wakiendelea kutokwa mapovu huko belgium na canada. Endelea na kazi ya kuwarubuni wana mbeya ili itapokuwa inaanzishwa michango ya chama wawe mstari wa mbele kukichangia.
Haya ww endelea kuupa maumivu moyo wako. Kina prof Safari, Mabere Marando na wengine wengi wenye elimu zao na maono yao waliliona hili kitaambo, wakaamua kuwapisha wenye njaa waendelee kuuza utu wao kwa sababu ya njaa zao.Hapo ndio unaamini utakuwa umenijaza? Hii mindgame yako ya kitoto sana.
Mimi sitabisha kwa sababu Chadema haina watu makiniUkiambiwa mimi ni miongoni mwa Timu ya Chadema inayokutana na Samia utakufa au utaishi ?
Mwambie KATIBA kwanza ije ndo tufanye uchaguzi, asiangalie Ahadi ya wabunge wengi akaacha urais km Lipumba!Ukiambiwa mimi ni miongoni mwa Timu ya Chadema inayokutana na Samia utakufa au utaishi ?
Wanafuata nini ikulu kila mara kama sio kupotezeana muda?
Kweli siasa za Tanzania zinaendeshwa kwa njia ya ulaghai 😂😂🤣🤣🤣Ukiambiwa mimi ni miongoni mwa Timu ya Chadema inayokutana na Samia utakufa au utaishi ?
Wenzako wanasaka ugali, wewe Hela ya unga unamaliza kununua bando na hakuna unachopataMbowe awe makini