Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Kesi ilikua ya mchongo, ushahidi wa kuunga unga! Serikali walijua utetezi watapangua kesi, wakaweka mpira kwapani. Mmekuwa mkisema CHADEMA wanafanya siasa za fujo, sasa Mbowe anatafuta muafaka mnaleta maneno ya usaliti! Nyie msiotaka mazungumzo, anzisheni Umoja Party!Lete sababu za msingi kwanini alikuwa na kesi ya kujibu na ghafla kesi inafutwa lakini anatoka na kuunganisha Ikulu kwa mtesi wake, em jibu hili suali japo points 2 tu.