Chai Nyeusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 347
- 312
Lissu alikuwa anawatetea Mabeberu bungeni waendelee kuchimba madini yetu huku Rais Samia na JPM wakitutetea sisi wanyonge.Lissu hakuna kituo hata kimoja aliweza kuwa mbele ya Samia na JPM mwaka uchaguzi wa 2020. Kipigo alichopewa October 2020 kilimfanya awachukie Watanzania wote.
Wale Mabeberu ambayo Lissu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau? Kama sio Rais Samia na JPM madini yetu yasingekuwepo.Lissu alikuwa anawatetea Mabeberu bungeni waendelee kuchimba madini yetu huku Rais Samia na JPM wakitutetea sisi wanyonge.
Asante Rais Samia kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati, Mungu akupe afya uendelee kututumikia vema mama yetu.Wale Mabeberu ambayo Lissu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau? Kama sio Rais Samia na JPM madini yetu yasingekuwepo.
Ccm haiwezi kuiba kura 2025. Rais Samia anapendwa sana na Watanzania Pia usije ukamfananisha mzee Lowasa na huyo msaliti wa Nchi Tundu Lissu.Asante Rais Samia kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati, Mungu akupe afya uendelee kututumikia vema mama yetu.
[emoji23][emoji1787]Ccm haiwezi kuiba kura 2025. Rais Samia anapendwa sana na Watanzania Pia usije ukamfananisha mzee Lowasa na huyo msaliti wa Nchi Tundu Lissu.
Habari ndio hiyo mdogo wangu[emoji23][emoji1787]
Rais Samia hata asipopiga kampeni mwaka 2025 ushindi ni 98% Ila Rais lazima awatembelee Wananchi wake kuonyesha heshima. Samia ooyeeeee.Ccm haiwezi kuiba kura 2025. Rais Samia anapendwa sana na Watanzania Pia usije ukamfananisha mzee Lowasa na huyo msaliti wa Nchi Tundu Lissu.
Chadema wakumbuke kwamba shabiki anabadilika kutokana na treand but mwanachama ni royal.Rais Samia hata asipopiga kampeni mwaka 2025 ushindi ni 98% Ila Rais lazima awatembelee Wananchi wake kuonyesha heshima. Samia ooyeeeee.
Mwanasiasa wa upinzani anapopingana na samia jiandae kujibu maswali yafuatayo kutoka kwa Watanzania UMEME: Ukipingana na samia watanzania watakuuliza unataka tusipate umeme wa uhakika utokanao na Bwawa LA Nyerere yaani unataka tusipate megawati 2115 za umeme unataka tusiwavutie wawekezaji.Chadema wakumbuke kwamba shabiki anabadilika kutokana na treand but mwanachama ni royal.
Tengua kauli mi mdgo wakoHabari ndio hiyo mdogo wangu
Long live samia Rais bora africa na dunia kwajumla.kwa kuishinda corona.Mwanasiasa wa upinzani anapopingana na samia jiandae kujibu maswali yafuatayo kutoka kwa Watanzania UMEME: Ukipingana na samia watanzania watakuuliza unataka tusipate umeme wa uhakika utokanao na Bwawa LA Nyerere yaani unataka tusipate megawati 2115 za umeme unataka tusiwavutie wawekezaji.
Binafsi naona Rais Samia anapambana na UZEMBE NA RUSHWA kuliko marais wote waliopata kuiongoza Tanzania.Long live samia Rais bora africa na dunia kwajumla.kwa kuishinda corona.
chadema kwa mara nyingine sera na ilani walichopanga kusema tayari Rais Samia ameshafanya na anatarajia kufanya makubwa zaidi.Binafsi naona Rais Samia anapambana na UZEMBE NA RUSHWA kuliko marais wote waliopata kuiongoza Tanzania.
Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Samia ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu. Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia.chadema kwa mara nyingine sera na ilani walichopanga kusema tayari Rais Samia ameshafanya na anatarajia kufanya makubwa zaidi.
Vipi kuhusu yule aliempoteza Ben sanane na Phd za kufoji nchi aliiweza??😀😀Mwenyekiti ndio mfano hai wa wanasiasa wasio na uwezo yaani katumia fursa ya UDJ na akawa mwanasiasa.
Bwana mkubwa Mbowe kama unapita hapa nakuomba ikiwezekana tembea kwa magoti hadi chamwino ukaombe radhi kwa Rais Samia la sivyo mtakufa tu mtakuwa mmekaidi sauti ya Mungu.Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Samia ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu. Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia.
Chama changu cha CCM chini ya Rais Samia kipo busy kujenga Nchi ila vyama vingine vinashindana kuhutubia Facebook.Bwana mkubwa Mbowe kama unapita hapa nakuomba ikiwezekana tembea kwa magoti hadi chamwino ukaombe radhi kwa Rais Samia la sivyo mtakufa tu mtakuwa mmekaidi sauti ya Mungu.
Wapinzani wanokosa adabu wanapotaka kujilinganisha na Rais Samia Huyu Samia ana uwezo mkubwa sana ujue?Chama changu cha CCM chini ya Rais Samia kipo busy kujenga Nchi ila vyama vingine vinashindana kuhutubia Facebook.
Hivi unajua kuwa samia ni Rais bora africa kwa sasa?Wapinzani wanokosa adabu wanapotaka kujilinganisha na Rais Samia Huyu Samia ana uwezo mkubwa sana ujue?
Utafiti umefanyika Samia anakubalika kwa zaidi ya 90% Ccm inakubalika kwa 70% Hii inamaanisha kuwa Rais Samia kwa uchapakazi wake amevuta watu wengi sana kujiunga na Ccm.Hivi unajua kuwa samia ni Rais bora africa kwa sasa?