K Mwita
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 356
- 314
Mafisadi wa CHADEMA wana hofu ya kushindwa na Rais mama Samia. Wanajua Rais Samia lazima awashughulikie ndio maana hawataki apambane naye.Utafiti umefanyika Samia anakubalika kwa zaidi ya 90% Ccm inakubalika kwa 70% Hii inamaanisha kuwa Rais Samia kwa uchapakazi wake amevuta watu wengi sana kujiunga na Ccm.