Sembinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2014
- 393
- 344
Acha kubishana na wapuuzi waliojaa humu. Ukiendelea soon utakuwa kama wao.Nimeandikiwa na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kubishana na wapuuzi waliojaa humu. Ukiendelea soon utakuwa kama wao.Nimeandikiwa na nani?
Hayo maneno niliyo bold hajayasemwa na Mbowe katika mahojiano yale, sasa unafikiri wasomaji kama sisi tutaelewaje mkuu?
Au aliyasema ila mimi ndio sijayaona? Unaweza kuniwekea screenshot basi mkuu. Alafu tangia lini katibu mkuu akapigiwa kura ndani ya chama chochote kile cha kisiasa hata CCM, NCCR na CUF hakuna hili sasa yeye alitaka kuiga kutoka wapi?
Na hicho katika bolded letters ndicho ambazo mimi nimekileta humu kwa wadau kwa ajili ya mjadala mpana. Je, Mbowe alikuwa sahihi kwa kusema maneno hayo? Na kama alikuwa sahihi, ni nini dawa mujarabu ya kukabiliana na changamoto hiyo na kuondokana na wanasiasa wasio na uwezo katika utendaji?Mbowe akasema wakati mwingine zoezi la kuchagua kwa kura linaweza kupitisha watu wasio na uwezo wa kazi wanayoomba.
Mbowe na Mnyika ni mafisadi sana na ndio wamefilisi ile SACCOS yaoAmerudi kwa Agustino Mrema aliyetaka wapiga kura kupanga mstari nyuma ya mgombea wanayemhitaji
Kwa hisia hizi nadhani ingefaa Mbowe akaanzisha utaratibu huo mpya kwenye chama chake ambacho anakiongoza kwa miongo kadhaa sasa.
Na hicho katika bolded letters ndicho ambazo mimi nimekileta humu kwa wadau kwa ajili ya mjadala mpana. Je, Mbowe alikuwa sahihi kwa kusema maneno hayo? Na kama alikuwa sahihi, ni nini dawa mujarabu ya kukabiliana na changamoto hiyo na kuondokana na wanasiasa wasio na uwezo katika utendaji?
Kwani kuna tofauti gani kati ya chaguzi za ndani ya vyama na zile za nje ya vyama (Wabunge na Madiwani)? Michakato mbona ni ni ile ile tu, come-pain (campaign) kwanza kisha box la kura linafuata.
Tanzania inahitaji viongozi wanaofaa. Full stop. Ndio maana nikauliza, kama Mbowe yupo sahihi, sasa tutumie njia gani ya kupata wanasiasa makini watakaoifaa Tanzania yetu pasipo kucheza kamari ya kisiasa?..unaweza kuchagua kwa kura ukapata mtu asiyefaa.
..unaweza kuteua ukapata mtu asiyefaa.
..vilevile njia zote zinaweza kukupatia watu wanaofaa.
Mbowe ni tapeli kama matapeli wengine, ameifanya chadema sisiemu B.Amerudi kwa Agustino Mrema aliyetaka wapiga kura kupanga mstari nyuma ya mgombea wanayemhitaji
Kwa hisia hizi nadhani ingefaa Mbowe akaanzisha utaratibu huo mpya kwenye chama chake ambacho anakiongoza kwa miongo kadhaa sasa.
Tanzania inahitaji viongozi wanaofaa. Full stop. Ndio maana nikauliza, kama Mbowe yupo sahihi, sasa tutumie njia gani ya kupata wanasiasa makini watakaoifaa Tanzania yetu pasipo kucheza kamari ya kisiasa?
Sawa mkuu, sasa nimeelewa mawazo yako. Thanks...kuna mazingira ambapo KURA zinafaa.
..Na kuna mazingira ambapo UTEUZI unafaa.
..tunatakiwa tujiulize tuwe na mfumo gani wa kupiga kura ili kutuepusha au kupunguza uwezekano wa kuchagua watu wengi wa hovyo-hovyo.
..pia mfumo wetu wa uteuzi uwe na namna gani ili ku-weed out candidates ambapo hawana uwezo au viwango kwa nafasi husika.
..ukiwa na tume ya hovyo na kuhuni ya uchaguzi unakuwa umekaribisha watu wa hovyo au chama cha hovyo kushinda uchaguzi.
..ukiwa na mfumo wa uteuzi wa kificho unaomtegemea mtu mmoja upo then upo uwezekano mkubwa wa watu wasio na sifa kuteuliwa.
Gharama sana mkuu. Au gharama ya pesa ndio gharama ya kuwa na demokrasia thabiti?Au tuwe na mabunge mawili (mmoja la kuteuliwa liwe level ya juu)?
Possibly. But unaweza kupunguza ukubwa wa bunge lililopo (na unapunguza malipo pia?) na ku create hilo bunge dogo (lakini la juu kimadaraka). Let say hilo bunge la juu, linakuwa na wabunge wa kuteuliwa (au namna nyingine ya kupatikana kwa merit - CV, uwezo?) mmoja kutoka kila mkoa wa Tz.Gharama sana mkuu. Au gharama ya pesa ndio gharama ya kuwa na demokrasia thabiti?
Asante mkuu umewaza vema sana na kwa kuongezea tu ni kwamba kwenye comment number 69 hapo juu, ndugu yetu JokaKuu amesema maneno haya;Let say hilo bunge la juu, linakuwa na wabunge wa kuteuliwa (au namna nyingine ya kupatikana kwa merit - CV, uwezo?) mmoja kutoka kila mkoa wa Tz.
mhhhMbowe ni tapeli kama matapeli wengine, ameifanya chadema sisiemu B.
Endelea kuguna, habar ndio hiomhhh
Sawa mkuuEndelea kuguna, habar ndio hio
Zitto pia sina imani naye kabisa mkuuMbowe ni tapeli kama matapeli wengine, ameifanya chadema sisiemu B.
Asante kwa maoni yako mazuri mkuu1.Makada wa vyama vya siasa wasiwe makamishina na watendaji wa tume ya taifa ya uchaguzi, iwe na marufuku kwa mtu aliyewahi kuwa kada wa chama kuwa mtendaji katika tume.
2.MaDED wasiwe watendaji wa tume katika ngazi za majimbo. Hata mahakama kuu ilikubaliana na hii hoja kabla ya watendaji wa jiwe kwenda kupindua katika mahakama ya rufaa.
3.Matoke ya Urais yapingwe mahakamani pia na kuwepo na mahakama ya kikatiba itakayoshughulikia kesi za uchaguzi na ukiukwaji wa katiba na viongozi.
4.Ubunge wa mbunge au spika usikome pale anapohama chama au kufukuzwa na chama chake ili kulifanya bunge kuwa huru.
5.Ubunge wa viti maalum na wa kuteuliwa uondolwe. Wabunge wote wawe ni watu waliopigiwa kura katika majimbo yao na watu wote. Ni fedhea kuwa na watu waliopigiwa kura na 'wanachama' wa vyama vyao tu. Pia hakupaswi kuwa na jimbo la Ikulu bungeni. Hata katibu wa bunge anapaswa kuwajiriwa na bunge sio kuteuliwa na Rais kama ilivyo sasa.
6.Rais aondolewe mamlaka ya kulivunja bunge.
7.Wagombea binafsi waruhusiwe kwa ngazi zote.Mwinyi amekiri kwamba ugombea binafsi ulipingwa kwa maslahi ya chama chake na sio maslahi ya taifa.
Jamaa ni mwenyekiti mwaka wa 20 huu ndani ya UfipaMbowe anapaswa kuwa jela kwa udikteta ndani ya chama