Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,895
- 20,392
Ukiangalia hizo form utashawishika kwamba zimejazwa na mtu mmoja. Hata sehemu ya huyo aitwaye mjomba. Kama nimekosea basi hawajajaza watu zaidi ya watu wawili.
Kwenye card kuna vitu ambavyo vinachanganya. Kwanza zaidi ya visits 17 huyo mtoto anakuwa attended na nurse mmoja. Mwandiko uleule. Ukiona zile 'hajambo' alizoandika na hizo vaccines alizotoa utajua ni mtu mmoja. Sina uhakika na hizo tarehe za ku attend kliniki labda madaktari wa watoto wanaweza wakasema.
Lakini pia kuna shida ya tarehe. Mtoto kawa attended tarehe 30/07/2013 siku ya jumapili. Inawezekana kama alikuwa ana attend private kliniki na sio kwa public. Pia kuna tarehe 23/09/2013 ambayo ni jumamosi.
Kwa ufupi, mimi sifahamu maisha binafsi ya Mbowe, na hayatanisaidia kuondoa umaskini wa ndugu zangu kule kijijini, lakini pia ni vizuri tujitahidi kuepuka kudanganya watu kwa kutumia ujinga wetu ili kuonesha fulani mbaya. Hizi document zimefojiwa. Na kwa makusudi kabisa mtengenezaji ameamua zisiwe clear. Ameamua kuifanya ionekane kama copy ya copy wakati amejaza wenyewe na kuitoa copy.
hayo mengine uliyoandika wauguzi wanaweza kutusaidia. Kwa tarehe za clinic kupangwa siku ya Jumapili si kigezo kwani clinic unaweza kwenda wakati wowote hasa hii ya kujua tu uzito. Cha muhimu hapa ni Mbowe kuzaa na Joyce na kumtumia mjomba wake kuandaa cheti cha kuzaliwa. Ni aibu kwa mtu ambaye amefunga pingu ya maisha ku do na asiye mkewe.